antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Mkuu,bei yake kwa sasa iko juu mno .
Bei yake ni ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu,bei yake kwa sasa iko juu mno .
Kasoma Sabasaba Secondary mwaka 1990 mpaka 1992Advance amesoma mwaka gani wewe? . Waliofika mpaka Kidato cha sita ni kina Prof J, Solo thang na baadhi yao.
Tanzania soko la mihogo lipo tena kubwa.Kiwanda cha Azania Millers pale ubungo hununua makopa ya mihogo iliyokaushwa kuanzia tani kumi kiasi chochote hata uwe na tani milioni mojaTulishaambiwaga soko la MIHOGO limepatikana at the end tuka respond nalo kilichotutokea balaaa
Kasoma Sabasaba Secondary mwaka 1990 mpaka 1992
is does not matter about education level , ana spirit ya ujasilia maliHivi level ya elimu ya sugu ni ipi?
Sawq kabisa nyie endeleeni na role model zenu wakina dr kmbuka,jlokole tuDuh bange acha iwe haram
Hapo hakuna mtu mwenye uwezo wa kununua kontena 250 za Maharage. Jamaa zimepauka hivyo, pesa watatoa wapi? Jamaa hao muonekano wao ni wa kimaskini tu.Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini , ambaye pia ni Mfanyabiashara wa Kimataifa mwenye mafanikio Tayari amepata soko la Maharage meupe nchini Uturuki
View attachment 2938598
Mazungumzo yake na Wazungu kwa ajili ya kusaidia Wakulima wa Tanzania tayari yamekamilika , tayari Wazungu hao wamekubali kununua makontena zaidi ya 250 ya Maharage hayo kwa kuanzia
View attachment 2938599
Tunatoa wito kwa wakulima wote wenye maharage hayo kujitokeza , maana bei yake kwa sasa iko juu mno .
Sugu Mkombozi wa wakulima
Sugu ni msela wasela huzeeka na usela wao baharia kama baharia kaamua kuachia masnap yake akiwa mantoni na masela wenzie huyu mleta mada kawaka kisa weupe! Juzi kati alipiga picha na balozi wa america kaamua kutengeneza photo album ya miaka 50!Tupate quantities zinazohitajika, bei zake CIF Instanbul, vipimo vya ubora, lini maharage yanahitajika.
Sugu hana jibu lolote kati ya vigezo tajwa.
Huyu jamaa kaigia ghetto za wasela wenzake Instanbul.
Ukiniambia walikuwa wanajadiliana namna ya kusafirisha misokoto, labda.
Ona akili zako nyie ndy mnapigwaHapo hakuna mtu mwenye uwezo wa kununua kontena 250 za Maharage. Jamaa zimepauka hivyo, pesa watatoa wapi? Jamaa hao muonekano wao ni wa kimaskini tu.
These guy cant think straight.Sugu ni msela wasela huzeeka na usela wao baharia kama baharia kaamua kuachia masnap yake akiwa mantoni na masela wenzie huyu mleta mada kawaka kisa weupe! Juzi kati alipiga picha na balozi wa america kaamua kutengeneza photo album ya miaka 50!
Sioni cheti cha A level mentioned hapo.View attachment 2938677
Aisee sawa mkuu ila Hii hapa CV yake na kwa maelekezo yako Inamaana O Level alisoma miaka Mitatu baada ya hapo A level akasoma mwaka mmoja. Anyways inawezeka sipo sahihi.
Hizi CV za bunge mara nyingi hazijazwi kwa ukweli na naona mara zote wanatimiza wajibu tu..View attachment 2938677
Aisee sawa mkuu ila Hii hapa CV yake na kwa maelekezo yako Inamaana O Level alisoma miaka Mitatu baada ya hapo A level akasoma mwaka mmoja. Anyways inawezeka sipo sahihi.
Twambie maharage watanunua kwa Tsh ngapi?Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini , ambaye pia ni Mfanyabiashara wa Kimataifa mwenye mafanikio Tayari amepata soko la Maharage meupe nchini Uturuki
View attachment 2938598
Mazungumzo yake na Wazungu kwa ajili ya kusaidia Wakulima wa Tanzania tayari yamekamilika , tayari Wazungu hao wamekubali kununua makontena zaidi ya 250 ya Maharage hayo kwa kuanzia
View attachment 2938599
Tunatoa wito kwa wakulima wote wenye maharage hayo kujitokeza , maana bei yake kwa sasa iko juu mno .
Sugu Mkombozi wa wakulima
Wamevunja sheria za nchi kusoma hadi la saba?Darasa la saba pamoja na Erythrocyte wake
Msaidieni Heche na yeye ajiajiri. Elimu pia huwa inamponza Sana yeye kila kitu anadhani ni matumizi ya maguvu na Kiswahili chake cha kuparaza.CHADEMA inatekekeza agenda ya maendeldo ya watu kwa vitendo na ndiyo maana viongozi wake wanaojua kujiajiri mfano Joseph Mbilinyi Sugu , Meya Boniface, Freeman Mbowe, Mungai, Peter Msigwa na wengine wengi wanafaa kuogoza nchi katika kuanzia udiwani hadi uongozi wa juu nchini ilimaendeleo ya watu yapatikane.
Nyie endeleeni na Uchawa wa kuisifia CCM, ndio kazi mnayowezaAcha kutuganyana, kama uwezo wako kufikiri sawa na Sugu sema.
Kwanza Waturuki kwa taarifa yako si wazungu, sugu we!
Halafu bilateral agreements hazifanyiki vijiwe vya kahawa na wasela waliovaa vikaptula.
Sema Sugu kaenda tafutiwa dame mitaani Instanbul, tutakuelewa.