Sugu apata soko la maharage nje ya Nchi, Wakulima kazi kwenu

Sugu apata soko la maharage nje ya Nchi, Wakulima kazi kwenu

Hivi ni kwanini Sugu na wasanii wenzie wa zamani (legends) wasifikirie wazo la kufanya tamasha kubwa kila mwaka kama la wasanii wanofanya kwenye superBall wapige hela kubwa?

Nikisema tamasha namaanisha tamasha kwelikweli au wafanye Tour nchi nzima.

Ila biashara au majukumu mengine kama ya ubunge waendelea nayo kama kawaida.

Tamasha hilo litakuwa "so sick and mind-boggling" sana.
Wazo lako limechukuliwa
 
Kuna tamasha linafanyikaga alliance france pale la wasanii
Wa zamani na kinachopatikana
Msanii anapewa

Ova
 
Hivi ni kwanini Sugu na wasanii wenzie wa zamani (legends) wasifikirie wazo la kufanya tamasha kubwa kila mwaka kama la wasanii wanofanya kwenye superBall wapige hela kubwa?

Nikisema tamasha namaanisha tamasha kwelikweli au wafanye Tour nchi nzima.

Ila biashara au majukumu mengine kama ya ubunge waendelea nayo kama kawaida.

Tamasha hilo litakuwa "so sick and mind-boggling" sana.
Wazo zuri sana hili

Hii idea ya kudhamini tamasha kama hilo ninayo sema hela ndio sina. Mpaka nipate hela wasijekuwa wamezeeka wote au wamefariki, au nisipate hizo hela.

Changamoto ni kuwarudisha kwenye form wengi wao hawana mazoezi ya sauti, discipline hawana kuna wavuta bangi madawa na pombe, hawana maisha na wengine wamejipata, hawazingatii mikataba na makubaliano. Yani changamoto kwao ni nyingi ila suala la marketing linafanyika vizuri hata media baadhi zikisusa.

Anyway kuwaza ni bure. Hela sina mimi ila ningekuwa nayo sasa!
 
Chadem
Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini , ambaye pia ni Mfanyabiashara wa Kimataifa mwenye mafanikio Tayari amepata soko la Maharage meupe nchini Uturuki

View attachment 2938598

Mazungumzo yake na Wazungu kwa ajili ya kusaidia Wakulima wa Tanzania tayari yamekamilika , tayari Wazungu hao wamekubali kununua makontena zaidi ya 250 ya Maharage hayo kwa kuanzia

View attachment 2938599

Tunatoa wito kwa wakulima wote wenye maharage hayo kujitokeza , maana bei yake kwa sasa iko juu mno .

Sugu Mkombozi wa wakulima
Chadema ndio chama cha tegemeo kwa Watanzania.

Hawa wengine ni jukwaa la kugombea matumbo yao
 
CHADEMA inatekeleza agenda ya maendeldo ya watu kwa vitendo na ndiyo maana viongozi wake wanaojua kujiajiri mfano Joseph Mbilinyi Sugu , Meya Boniface, Freeman Mbowe, Mungai, Peter Msigwa na wengine wengi wanafaa kuongoza nchi katika kuanzia udiwani hadi uongozi wa juu nchini ili maendeleo ya watu yapatikane.

Tofauti na wale wa chama dola kongwe, ni waajiriwa wa serikalini na bungeni hivyo hawajui biashara wala maana ya kujiajiri hivyo muda wote sera za CCM ni kukandamiza raia waliojiajiri kama wakulima, wavuvi, wafugaji,wafanyabiashara.

CCM wanawaza kuweka mageti kuzuia mazao ya wakulima, hawana mpango kuweka mazingira ya uvuvi yawe mazuri ingawa tuna bahari na maziwa yenye samaki, wanafungia magazeti binafsi, wanavyeka mazao ya mbogamboga (horticulture), kubomoa kumbi za starehe Bilicana n.k hii ni Kwa sababu viongozi wa CCM waliopo madarakani hawakuwahi kujiajiri kwa namna yoyote wanasubiri pensheni ya wastaafu ya waajiriwa wa serikalini na katika chama pale Lumumba na makao makuu ya CCM.
Wa CCM wanajua kuiba pekee
 
Hivi level ya elimu ya sugu ni ipi?
Sugu au Sugunyo ni form leaver Tena failure,ila ni mwenye exposure kubwa sana na kujiongeza kwa sana,street smart na kwa sugu ni ushahidi kuwa education system ndio inayo fail sio mtu.Tujiongezeee
 
Back
Top Bottom