Sugu apata soko la maharage nje ya Nchi, Wakulima kazi kwenu

akiwa hajapuliza moshi anaonekana mwema sana 🐒

kweli huyo jamaa ni mbinafsi kwenye business na foreignerz unaenda pekeyako?🐒

high risk at work 🐒

hata hivyo mbona kabanwa sana apo, hiyo lazima itakua 3-1
 
Big up man.
 

Mazee najaribu kuipandisha hii interview hapa JF lkn inagoma hebu mkuu nenda YouTube kaitafute hii interview ya salama aliyofanya na sugu anzia dakika ya 8 hadi ya 12 halafu ukimaliza njoo hapa utuambie Elimu ya Sugu au vp Pengine hata yeye nimuongo tu haijui elimu yake.
 
cheki vita atakayopigwa uone ngozi nyeusi tulivyo na laana
 
Sugu form 4
+ alipomaliza shule akaingia kwenye kazi na harakati zake
Za mziki

Ova
 
Yap Ndivyo navyojua mkuu na ni moja kati ya ma "Hustler" naowaeshimu sana plus ana exposure. Maana msela kaanza kujitafuta na kupiga misele duniani kiatambo sana.
Sugu mm nko form 1 mbeya sangu sec
Yeye alikuwa form 3......
Sugu nkakutana naye wakati huo alikuwa anafanya kazi BP na mm pia nlingia hapo kupiga deiwaka
Tena bosi wetu palealikuwa mzee
Mtenga,sema mm nlizingua nkaawaacha
Sugu alikuwa mpambanaji,mwanaharakati kitambo hata alipoingia kwenye siasa wala sikushangaa
Si unakumbuka miaka ile alifanya kongamano kubwa la hiphop summit africa, ilifanyika dsm
Wasanii wengi walikuja kutoka West,North,South,East Africa
Yote hiyo ni inaonesha namna gani alikuwa na uhanaharakati
So jamaa namjuwa vzr tu,hata wakat ule sisi tulikuwa namskani
Yetu ya mabaharia ilikuwa bblock41 tulikuwa tunaita Indian polis....sugu naye alikuwa member
Sasa pale ndy michakato ya kwenda nje nk ,ilikuwa inapatikana

Kingine najazia tu sugu ndy msanii wa kwanza wa hiphop bongo kununua gari,ile gari lake la kwanza Honda

Ova
 
Hivi ni kwanini Sugu na wasanii wenzie wa zamani (legends) wasifikirie wazo la kufanya tamasha kubwa kila mwaka kama la wasanii wanofanya kwenye superBall wapige hela kubwa?

Nikisema tamasha namaanisha tamasha kwelikweli au wafanye Tour nchi nzima.

Ila biashara au majukumu mengine kama ya ubunge waendelea nayo kama kawaida.

Tamasha hilo litakuwa "so sick and mind-boggling" sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…