Pre GE2025 Sugu apumua, Lucas Mwashambwa hatagombea Ubunge Jimbo la Mbeya mjini aamua kumwachia Dr Tulia aendelee kuleta Maendeleo!

Pre GE2025 Sugu apumua, Lucas Mwashambwa hatagombea Ubunge Jimbo la Mbeya mjini aamua kumwachia Dr Tulia aendelee kuleta Maendeleo!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni haki yake kikatiba - uchaguzi ni kazi kubwa. Huenda angegombea jimbo la JF angeshinda lkn kule kwa wajumbe kuna changamoto kibao
 
Palikuwepo wasiwasi Kwamba Mwanasiasa Maarufu Kanda ya Nyasa Lucas Mwashambwa atachukua form za kugombea Ubunge Jimbo la Mbeya mjini.

Uvumi huo ulimfanya mbunge wa zamani Joseph Mbilinyi (Sugu) Kupata mchecheto kwani anamuhofia Zaidi Lucas kuliko Dr Tulia.

Hata hivyo Lucas amesema yeye hana nia ya kugombea Ubunge na amejielekeza katika kuhakikisha DrTulia anashinda 2025.

Nawatakia Sabato Njema 😄😄
Umeanza kuwa zee la hovyo,Kwa umri wako ni Bora ukapunguza kijihisisha mitandaoni kama babu mshana
 
Ni wakati wa kuhakikisha Dr Tulia Ackson Mwansasu anashinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima na kuendelea na Urais wa IPU.Mbeya chini ya Dkt Tulia ni Tulivu na imetulia na kuchanja Mbuga kwa miradi ya maendeleo
Hiyu shangazi ametuangusha sana watu wa Mbeya.
Ameshindwa kabisa kutumia fursa kipindi cha jiwe. Leo tungekuwa tunatamba nae.
 
Palikuwepo wasiwasi Kwamba Mwanasiasa Maarufu Kanda ya Nyasa Lucas Mwashambwa atachukua form za kugombea Ubunge Jimbo la Mbeya mjini.

Uvumi huo ulimfanya mbunge wa zamani Joseph Mbilinyi (Sugu) Kupata mchecheto kwani anamuhofia Zaidi Lucas kuliko Dr Tulia.

Hata hivyo Lucas amesema yeye hana nia ya kugombea Ubunge na amejielekeza katika kuhakikisha DrTulia anashinda 2025.

Nawatakia Sabato Njema 😄😄
Kwako Lucas Mwashambwa
 
Back
Top Bottom