Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Baada ya kuruhusu UWT wawe wengi humuHili jukwaa limegeuzwa Jukwaa la Komedi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya kuruhusu UWT wawe wengi humuHili jukwaa limegeuzwa Jukwaa la Komedi
Na ndiyo ni wewe...!Huyu huyu kiboko ya Makamanda hapa Jf 😂😂🔥😂
Ameamka kavimbiwa jana si ndiyo wamepewa posho yao ya wiki kafakamia magimbi na maparachichi yuko hoi anaharisha kama bata.Lucas Mwashambwa njoo huku unaitwa..
Hata Babu Tale mlisemaga ni Komredi 😄😄😄🔥🔥Hili jukwaa limegeuzwa Jukwaa la Komedi
Sugu abubujikwa machozi ya Furaha 😂😂😂Huyu shetani labda agombee UWT pekee
Sasa kwani huoni upuuzi anaofanya huko mjengoni anauma uma midomo kama demu hawezi hata kujenga hoja.Hata Babu Tale mlisemaga ni Komredi 😄😄😄🔥🔥
Nimeshangaa mpaka sasa hajatia neno...@lucas mwashambwaAmeamka kavimbiwa jana si ndiyo wamepewa posho yao ya wiki kafakamia magimbi na maparachichi yuko hoi anaharisha kama bata.
Mwambieni uzee ukiwadia aachane na mitandao,anaandika pumba sana siku hizi ilimradi tuu aanzishe Uzi jf.Heshima yako inashuka bro
Umeanza kuwa zee la hovyo,Kwa umri wako ni Bora ukapunguza kijihisisha mitandaoni kama babu mshanaPalikuwepo wasiwasi Kwamba Mwanasiasa Maarufu Kanda ya Nyasa Lucas Mwashambwa atachukua form za kugombea Ubunge Jimbo la Mbeya mjini.
Uvumi huo ulimfanya mbunge wa zamani Joseph Mbilinyi (Sugu) Kupata mchecheto kwani anamuhofia Zaidi Lucas kuliko Dr Tulia.
Hata hivyo Lucas amesema yeye hana nia ya kugombea Ubunge na amejielekeza katika kuhakikisha DrTulia anashinda 2025.
Nawatakia Sabato Njema 😄😄
Mimi nikeshafikaLucas Mwashambwa njoo huku unaitwa..
Unamuonea Wivu KADA maarufu wa CCM mkoani Mbeya mh Lucas Mwashambwa 😄😄Umeanza kuwa zee la hovyo,Kwa umri wako ni Bora ukapunguza kijihisisha mitandaoni kama babu mshana
Wanasema eti unataka kupambana madam speaker..unasemaje?Mimi nikeshafika
Hiyu shangazi ametuangusha sana watu wa Mbeya.Ni wakati wa kuhakikisha Dr Tulia Ackson Mwansasu anashinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima na kuendelea na Urais wa IPU.Mbeya chini ya Dkt Tulia ni Tulivu na imetulia na kuchanja Mbuga kwa miradi ya maendeleo
Kwako Lucas MwashambwaPalikuwepo wasiwasi Kwamba Mwanasiasa Maarufu Kanda ya Nyasa Lucas Mwashambwa atachukua form za kugombea Ubunge Jimbo la Mbeya mjini.
Uvumi huo ulimfanya mbunge wa zamani Joseph Mbilinyi (Sugu) Kupata mchecheto kwani anamuhofia Zaidi Lucas kuliko Dr Tulia.
Hata hivyo Lucas amesema yeye hana nia ya kugombea Ubunge na amejielekeza katika kuhakikisha DrTulia anashinda 2025.
Nawatakia Sabato Njema 😄😄
Mbeya ni ya Dkt Tulia na Dkt Tulia ndio Mbeya yenyewe
Natarajia kuja mbozi meishoni mwa September nitaomba tuonane nibubijike kidogoMbaya ni ya Dkt Tulia na Dkt Tulia ndio Mbeya yenyewe
Karibu sanaNatarajia kuja mbozi meishoni mwa September nitaomba tuonane nibubijike kidogo