Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,654
kwa mwandiko wako humu huna miaka 40..prove me wrong
Sijakuelewa.
naweza kukubaliana na mahakama kwa upande wa kipato..kwamba faiza hana kipato cha kumlea mtoto vizuri..lakini kwa aadili,sioni kama sugu ana maadili mazuri kushinda ya mama yake.wanasema anapulizaga kwa sana..sasa unadhani kwa mazingia hayo mtoto yuko kwenye mikono salama?..shughuli za kibunge zilivyo sugu lazima awe ana safiri sana na muda mwingi hayuko nyumbani,je atakua anaandamana na mtoto?..akimwacha hao anaowaachia ana uhakika mtoto atakua salama zaidi kuliko mkononi mwa mama yake?..ningekua shangazi wa mtoto ningeomba tuyajadili kama familia...kw aajili uya mtoto na sio kupelekana mahakamani maana naamini ina athari kwa saikolojia ya mtoto....still naamini hakuna mtu anaweza mpenda mtoto kuliko mama yake mzazi!...miezi tisa tumboni si mchezo..labour sio mchezo
Faiza hakutendewa haki, hakuna mahala unaweza kupata haki ya kuwa na mtoto kwa siku moja au mbili na kupewa hukumu permanent kumlea mtoto , kama mtoto mahakama inafikiria huenda yupo hatarini, ingeamuliwa apewe haki ya kumlea kwa muda, huku kesi ikiendelea kusikilizwa.Kwa hilo namuunga mkono Sugu, mtoto anafundishwa maadili mazuri.
Sasa hapo sioni maadili kabisa kwa kuvaa hivyo.
Au na katoto kameshonewa hivyo?
mbona mwafanana na wote majina sawa na yeye pia huu mwezi kaacha vituko
Umewahi kuona nguo alizokuwa akivaa toka hapo awali?
Je huyo Mh.alimkuta kwenye mavazi gani mpaka wakapeana mimba..ktk hali ya Kijamii kwakweli hatuna haki ya kuhukumu kesi hii lakini kwa kuwa maamuzi ya mahakama yanabebwa na facts basi yatupasa kuheshimu..
Lakini mimi ninayemfahamu Faiza kuvaa vile ni kawaida yake hata kabla ya kuwa mama.
Anyway kuna picha alipiga amevaa kichupi na akiwa mja mzito ni warning gani alipewa na Mheshimiwa akiaa kama mhusika aliyekuwa akilea mimba.
Hapa kuna mambo mengi tuu..ila kwa mtazamo wangu mahakama ilipashwa kuangalia saana umri wa mtoto na ingempa kipindi ajirekebishe juu ya mavazi yake.
Hamna lolote wanaume wengi ma Sperm Donors, hatuna lolote tunataka kuonyesha ubabe wetu kwa wanawake. Unalaumu tabia za mwanamke anavyolea mtoto wako wakati hata kumtembelea huendi wala kumsaidia humsaidii, mama ndiye anajua kula,masomo, mavazi na kuumwa kwake badala ya kufurahi unamkashifu mama hana kipato, wakati tunafahamu kuna watu wengi wana vipato hawalei watoto wao vizuri.* Ishu sio mavazi tu...grounds za Sugu zilikuwa nne:
* Kuvaa mavazi ya nusu utupu, kupiga picha za nusu uchi na kuyatupia mtandaoni...
* Kumpiga mtoto picha mbaya ya kuyatupia humohumo mtandaoni...
* Kusafiri mda mrefu na kuwa mbali na mtoto...
* Kutokuwa na kipato cha kuweza kumlea mtoto...
mbona mwafanana na wote majina sawa na yeye pia huu mwezi kaacha vituko
i mean kwa aina ya uandishi wako hapa jf hujafika miaka 40
Naam, ni binaadam mwenzangu lazima tufanane na Mwenyeezi Mungu atamjaalia ni utoto tu ataacha akikuwa.
Hebu mtazame mama'ko hafanani nae?
Kesi zikichewa tunalia zikiwahi tumetoa rushwa! Watanzania naninkatuloga?
Hembu fikilia tabia na mavazi ya huyo mzazi mwenzie Sugu kweli yanafaa kuwa mlezi wa huyo mtoto?
Imagine ingekuwa hiyo ndio tabia ya Sugu je Mzazi mwenzie angelimuachia aendelee na malezi ya huyo mtoto?
Tumezidi kulialia aisee!
picha ya mavazi iliyotumika kama kielelezo kumbe ni ya beach,sasa kila weekend pale coco beach wamama wangapi na watoto wanavaa nguo za ufukweni?,
ama tuseme wale wadada wa usiku kuanzia hukumu ya huyu hakimu mla rushwa,hawatakiwi kuwa na watoto,ju wanavaa vimini vya hatari?