Sugu ashinda kesi dhidi ya Faiza kuhusu malezi ya mtoto, Faiza aomba nafasi ya kujirekebisha

Status
Not open for further replies.
Kwa ulewa wa haraka haraka tu:

1)..sheria ipo kwa ajili ya kumlinda mtoto..sababu mtoto yupo katika moja ya kundi hatarishi..kuna kitu inaitwa BEST INTEREST OF THE CHILD..na katika kutoa maaamuz yeyote kisheria..best interest itaangaliwa...tukianzia hapo...a) kimaaadili kwakweli faiza kama mama ni kituko..inaezekana ndio haaambatan na mtoto katka mishe zake za kuvaa utupu...lakini izo nguo anazivalia wapi? si nyumbani?? naamini hua ana muaga mwanae kabla hajatoka...at that juncture..huyo bint yake anaona...na tunajua..ukizoea kuona kitu mara kwa mara..aghalabu hugeuka tabia..so dogo nae akiwa anakua ataona avyofanya maza ni kawaida tu..! Ndio mwanzo wa kuharibikiwa! Binafs naona tabia huanzia nyumban..
 
leo sugu anatuhumiwa kuhonga hakimu ili ashinde kesi ya madai ya mtoy,huyu sugu ni mla rushwa huyu,na baado eti ikitokea bahati mbaya huyu akawa waziri.
hivi wajameni watu kama hawa mwadhani ndo wataleta mabadiliko gani hawa?

ANATUHUMIWA...kumbuka ni TUHUMA...so haijathibitika...so uache kuhukumu...nashauri upige kimya kidgo
 
 
ANATUHUMIWA...kumbuka ni TUHUMA...so haijathibitika...so uache kuhukumu...nashauri upige kimya kidgo

lakini si unaona mazingira ya rushwa?,kesi ya aina hiyo inahukumiwa kwa style ya vodafaster.

hapa ni wazi mlungula umetembea asee,there is no other explanation here....
 
 
 
Kesi zinatakiwa ziende haraka haraka ili zisipoteze uhalisi wake.
Big up sugu kwa kuleta mapinduzi kwenye mahakama za wabongo.
 
ndo kusema bora mtoto akabakwe kuliko akimuona mamake kavaa kimini?.

kuna dadapoa wangapi wana watoto humu bongoland,nao wanyang'anywe watoto?
Kama wewe ni mwanaume una tatizo kichwani. Samahani lakini
 
Elungata hata mie nimeona ni picha zote za bich na Sugu ni mtoa rushwa! Sasa umefurahi?

hukumu imepitishwa based on emotions ama rushwa.
picha za mitandaoni sio sababu ya mama kunyang'anywa mtoto wake.
hapa ni wazi kuwa mheshimiwa katoa kitu kidogo asee....
 
Last edited by a moderator:
Kesi zinatakiwa ziende haraka haraka ili zisipoteze uhalisi wake.
Big up sugu kwa kuleta mapinduzi kwenye mahakama za wabongo.

yeah,sawa but kuna process za kufuatwa katika kesi za aina hii ambazo ni wazi kuwa zimekiukwa kwa makusudi kabisaaaaaa
 
 
Hivi mama yake Faiza alikuwa anavaa nguo za jinsi anayovaa Faiza? N i kwa nini mama yake hakunyang'anywa? Tukubaliane kuwa wamama wote wanaovaa vizuri walifundishwa na baba zao kama anavyojaribu kutuaminisha Sugu. Malezi mazuri ya watoto ni mavazi tu, hakuna jambo lingine la ziada.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…