Sugu ashinda kesi dhidi ya Faiza kuhusu malezi ya mtoto, Faiza aomba nafasi ya kujirekebisha

Status
Not open for further replies.
 
hukumu imepitishwa based on emotions ama rushwa.
picha za mitandaoni sio sababu ya mama kunyang'anywa mtoto wake.
hapa ni wazi kuwa mheshimiwa katoa kitu kidogo asee....

I 've never seen a plain brain man who knowngly dare his foolish to the public.Its pure robot brain that miss imperical knowledge about child development at early stage.......!!!!
 
Mnatetea huyu mama kichaa kwasababu mtoto wakike siyo wakwenu ingekuwa mimi ndo mh judge iyoiyo siku ya kwanza ningemnyanganya uyo mama bishoo mtoto,uyo faiza si bado ana kizazi kama vp zaeni mtoto mwingine mumkuze kikuzi ivyo
 
Wewe umeiona hiyo hukumu? Kama umeiona, umeionea wapi? Na umeisoma?

mambo ya custody ya mtoto,kweli yanakua solved ndani ya masaa 48 kweli?.
hakimu anafikia vipi hukumu kwa picha za instgramu?
 
kuna watu humu wanamtetea huyo mtemi wao Sugu sijui kawalisha nini....kesi ya custody ya mtoto isikilizwe kwa siku moja kweli! utadhani ni kesi ya wizi wa kuku!

Nyani Ngabu please I do NOT want your response on my comment...thank you!
 
I 've never seen a plain brain man who knowngly dare his foolish to the public.Its pure robot brain that miss imperical knowledge about child development at early stage.......!!!!

ha ha ha,i have never seen such amount of stupidity in a single person in ma all life.

comon gay stop bitching and make some sense argument instead of throwing uselless insults here
 
mhhhhh napita tuu
 

Attachments

  • 1435173689676.jpg
    18.5 KB · Views: 251
Hizo process ni zipi?

Ziorodheshe hapa uweke na rejea ya/zake, tafadhali, halafu uonyeshe ni kivipi hazikufuatwa.

like i wa being paid to do that....comon man am doing this to pass time man....it is not like am so committed about this....so figure it out for urself......
 
Hizi pasepsheni,nilijua u-mzima kumbe kalagabagho!
 
ladies and gentlemen,am taking a break now,am gonna feed my face now see you in one hour.........
 
Upumbavu huu. Mleta mada habari kama hizi bakini nazo huko kwenye vi blog vyenu vya umbea na ufuska. Utamaduni wetu hauko hivyo, acha sheria ifuate mkondo wake. Acheni kutetea ujinga kwa kisingizio cha haki za wanawake. Haki zenu ni kutembea makalio wazi au? By the way, mambo ya Sugu aachiwe yeye na huyo mzazi mwenzie. Sheria ziko wazi kuhusu malezi ya watoto. Mtoto ni wa jamhuri!

Watanzania mnanikera kushinda mnadiscuss upumbavu wakati tuna mambo ya muhimu. Sioni sababu ya kutetea upumbavu wa huyu mwanamke.
 

Lakini mziki wa sugu wa matusi matusi na uhuni ndio unamfaa mtoto? Sugu anayepigana bungeni? Hapo wote wamekutana wahuni tu.
 
Duh! Hiyo picha iliyopigwa nne kwa moja ya pili kutoka kushoto ni kama vile amevaa pampers.Majanga kwelikweli!!!
 
ina mana sugu alisha taka kula iko kijicho apo juu mara tatu aka kata sasa 0712 chenyewe mbona hakienei ata mkononi sugu alikua anataka kuchimba madini gani uko kah.
ama kweli dunia ina mambo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…