Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
yeah,sawa but kuna process za kufuatwa katika kesi za aina hii ambazo ni wazi kuwa zimekiukwa kwa makusudi kabisaaaaaa
Hizo process ni zipi?
Ziorodheshe hapa uweke na rejea ya/zake, tafadhali, halafu uonyeshe ni kivipi hazikufuatwa.