Sugu ashinda kesi dhidi ya Faiza kuhusu malezi ya mtoto, Faiza aomba nafasi ya kujirekebisha

Status
Not open for further replies.
Mtoto hujifunza nakukuwa kimaadili kutokana na KUONA kile kinachofanywa na siyo kile anachosikia....ni mtu MPUMBAVU pekee ambaye ataona huyo mwanamke kaonewa.....
Habar yakufananisha na wasanii wa ulaya na america wanavyovaa eti na yeye anavaa hivyo huko nikukosa AKILI TIMAMU...kule ni ulaya na america na huku ni tanzania na kila mahali kuna utamaduni wake...huyo mtoto akija kuwa na tabia za kishenzi lawama zitakuja kwa baba kuwa kashindwa kumsimamia mtoto wake...
Kuharibika kwa jamii hii kimaadili kunachangiwa kwa 99% ya wanawake wenye akili kama hizi na wengi wanaonekana humu katika michango yao..
 
Ongera Sugu mi nadhani huyo faiza alikuwa na mpango wa kumfanya sugu awe mtaji wake kwa kigezo cha mtoto sasa imekula kwake, wanawake wa dizaini hii wapo wengi hata Mimi ningekuwa Sugu nisinge kubali yaani nitoe kodi ya nyumba Halafu mwanamke akale bata zake mwenyewe nisingekubali
 
Huyo mwanamke aendelee na zile riwaya zake sasa alizokuwa ameanzisha kwenye mitandao dhidi ya Sugu.
 
Sa mtoto anaenda ndo ajue kuwa she'll have all the time in the world!, kuvumbua nguo za uchi!
 

yaani baadhi ya wanawake acha kabisa anatumia mtoto kama ndiyo kigezo cha kujipatia kipato baada ya kufanya ujinga kuna kitu nimejifunza hapa nitafanya hivyo hivyo.
 
Lakini Naona kesi imechukua muda mfupi sana, hivi uchunguzi wa kutosha ulifanyika....????
 
Mimi binafsi naipongeza mahakama na mh Sugu kwa uamuzi huo,wanawake wengi wamekuwa sababu ya kuvunja mahusiano hasa wale wasio na maadili kwa kutegemea kupewa hela ya matunzo au kudai fidia pale unapokuwa umezaa nae na akajua kuwa unauwezo kiuchumi! sio siri baba huwa na huruma sana na mtoto ambae mamaake hayuko nae kuliko mwanamke aliyeolewa au kuwa na mahusiano na mme mwingine ambae sie baba mtoto!Pia kumuacha mwanao akalelewa na mama asiye na maadili ataishia kuwa changudoa shoga au mla unga, mara nyingine km ni mtt wa kike hufikia mahala mtoto na mama wote wanaliwa na mme mme mmoja maana mamaake anachojali ni hela! big up sugu
 

We jamaa bana unataka kuleta mambo ya ulaya katika utamaduni wa mtanzania!! Sheria zinazingatia au zinatungwa kulingana na maadili,tunu na tamaduni za jamii. Mama hana maadili na huko ustawi wa jamii ndio watamtosa kabisa.
 
huyu kinachomliza sio mtoto bali mpunga atakaopoteza...mademu dizaini hizi hawagi na machungu ya kimother kiviiile...hapo kila akifikiria hela atakayokosa hapo anatamani ardhi ipasuke..
 

Kama kwa macho yetu tumeshuhudia jinsi alivyo jee vipi anapokuwa kwenye mambo ambayo hatuyaoni kama unavyosema wewe? umeshindwa kujenga hoja yako,tatizo la watanzania ni kuigiza mambo ya wazungu? huwezi kuvaa chupi mbele ya watu eti kwa ajili ya mtindo tu, huo ni ujinga kabisa,zamani dada zetu,mama zetu hawakuwa na nguo hivyo walilazimika kujifunga kiunoni na kwenye sehemu ya matiti ili angalau kujisitili, baadaye tukapata mavazi,sasa hawa wanaoturudisha huko kwenye primitive era wana maana gani kama si upumbavu tu? kuna mambo mengi taifa hili linahitaji wavumbuzi ili tusonge mbele ki uchumi na si kuvumbua mitindo ya kukaa uchi jamani.
 

Well said!
Huyu mwanamke mpumbavu,utakuwa ni baba usiejielewa kuacha mwanao alelewe na type hii ya mwanamke!
 

Sugu kamlia timing Faiza,hope kuna mengi zaidi kati yao lkn Sugu kamlia mingo Faiza,na Faiza kakamatika.
 
huyu kinachomliza sio mtoto bali mpunga atakaopoteza...mademu dizaini hizi hawagi na machungu ya kimother kiviiile...hapo kila akifikiria hela atakayokosa hapo anatamani ardhi ipasuke..

Faiza alikuwa anataka kumtumia mtoto kama kitega uchumi.Hope Sugu ana ndugu zake ambao wana uwezo wa kukaa na mtoto
 
Ww chagga na ww si malaya tu unajua nn kuhusu kulea ndoa na familia? We mwenyewe huna adabu hata kidogo nyie wote si ndio wale wale na faiza kutwa nzima mnashinda mitandaoni kuonesha nyuchi zenu utazan hamna wazazi wala ndugu aibu zimewaisha kabisa kwa kuiga upuuzi kisa mnashinda uingereza na america,mnatembea uchi mpaka maungo yenu hayatamanish kaa kimya hujui chochote kuhusu familia.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…