Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haya majina ya faiza ni sheedah
Ongera Sugu mi nadhani huyo faiza alikuwa na mpango wa kumfanya sugu awe mtaji wake kwa kigezo cha mtoto sasa imekula kwake, wanawake wa dizaini hii wapo wengi hata Mimi ningekuwa Sugu nisinge kubali yaani nitoe kodi ya nyumba Halafu mwanamke akale bata zake mwenyewe nisingekubali
Tusiingilie mambo ya familia ambayo hatufahamu vizuri. Kwa sheria hizi basi wanamuziki na waigizaji wengi duniani wasingeweza kukuza watoto kwa wanavyo vaa au kuonyesha kwenye picha. Kuna vitu vingine sio vizuri kwa mtoto lakini tunaweza tusivione mfano je tunajua kama wazazi wanapigana, wazazi wanavuta sigara mbele ya mtoto, wazazi wanaongea matusi mbele ya mtoto, je kama kuna house girl yukoje, je kuna watu wangapi kwenye nyumba, je shule mtoto anayepelekwa ni nzuri. Hatuwezi kufanya uamuzi kutokana na picha za kwenye mitandao hasa kama mzazi ni muimbaji au muigizaji inabidi kuwe na uchunguzi wa kina
huyu faiza ndiye Faizafoxy?

Mtoto hujifunza nakukuwa kimaadili kutokana na KUONA kile kinachofanywa na siyo kile anachosikia....ni mtu MPUMBAVU pekee ambaye ataona huyo mwanamke kaonewa.....
Habar yakufananisha na wasanii wa ulaya na america wanavyovaa eti na yeye anavaa hivyo huko nikukosa AKILI TIMAMU...kule ni ulaya na america na huku ni tanzania na kila mahali kuna utamaduni wake...huyo mtoto akija kuwa na tabia za kishenzi lawama zitakuja kwa baba kuwa kashindwa kumsimamia mtoto wake...
Kuharibika kwa jamii hii kimaadili kunachangiwa kwa 99% ya wanawake wenye akili kama hizi na wengi wanaonekana humu katika michango yao..
Tusiingilie mambo ya familia ambayo hatufahamu vizuri. Kwa sheria hizi basi wanamuziki na waigizaji wengi duniani wasingeweza kukuza watoto kwa wanavyo vaa au kuonyesha kwenye picha. Kuna vitu vingine sio vizuri kwa mtoto lakini tunaweza tusivione mfano je tunajua kama wazazi wanapigana, wazazi wanavuta sigara mbele ya mtoto, wazazi wanaongea matusi mbele ya mtoto, je kama kuna house girl yukoje, je kuna watu wangapi kwenye nyumba, je shule mtoto anayepelekwa ni nzuri. Hatuwezi kufanya uamuzi kutokana na picha za kwenye mitandao hasa kama mzazi ni muimbaji au muigizaji inabidi kuwe na uchunguzi wa kina
huyu kinachomliza sio mtoto bali mpunga atakaopoteza...mademu dizaini hizi hawagi na machungu ya kimother kiviiile...hapo kila akifikiria hela atakayokosa hapo anatamani ardhi ipasuke..
Lakini Naona kesi imechukua muda mfupi sana, hivi uchunguzi wa kutosha ulifanyika....????
Ww chagga na ww si malaya tu unajua nn kuhusu kulea ndoa na familia? We mwenyewe huna adabu hata kidogo nyie wote si ndio wale wale na faiza kutwa nzima mnashinda mitandaoni kuonesha nyuchi zenu utazan hamna wazazi wala ndugu aibu zimewaisha kabisa kwa kuiga upuuzi kisa mnashinda uingereza na america,mnatembea uchi mpaka maungo yenu hayatamanish kaa kimya hujui chochote kuhusu familia.Kwa conduct ya Faiza kwa kipindi cha mwaka mmoja unaweza kuifananisha ya baba wa mtoto? Best interest mtt na welfare yake unadhani akiendelea kukaa na mama yake zitazingatiwa?
Faiza hajafanya hivyo kwa kivazi kimoja!!! Na katika kutoka huko zingatia anarudi saa ngapi anarudi na nani na mtoto anamuacha na nani? Mahakamani ni reasonability na weight of evidence ajipange upya kuthibitisha kuwa sugu hafai kukaa na mtoto ila yeye anafaa, apeleke evidence kuonyesha kuwa Sugu hafiiii. Kinachoonekana Evidence alizonazo Sugu kwa sasa zina uzito kuliko utetezi aliotoa Faiza