Sugu ashinda kesi dhidi ya Faiza kuhusu malezi ya mtoto, Faiza aomba nafasi ya kujirekebisha

Sugu ashinda kesi dhidi ya Faiza kuhusu malezi ya mtoto, Faiza aomba nafasi ya kujirekebisha

Status
Not open for further replies.
Hili swala ka kuomba tigonye inabidi tuwe makini sana. Unaweza pata kashfa ukishaachana na mtu kumbe duh.

Anaweza kukuzushia tu hata kama hujaomba..!!
Harafu nowdays imekuwa ni defense mechanism yao..!! Huku uswahilini imekuwa wimbo wa maarufu huo... "Alikuwa ananilazimisha anif......." Hawa viumbe waone hivihivi! Ila ukisomo between the lines utagundua huyo mdada ana machungu ya kuachwa!!
 
Huyu dada angekaa kimya angeonekana wa maana zaidi.

Kuropoka hivi hakumfanyi kuwa any smarter.
 
Anaweza kukuzushia tu hata kama hujaomba..!!
Harafu nowdays imekuwa ni defense mechanism yao..!! Huku uswahilini imekuwa wimbo wa maarufu huo... "Alikuwa ananilazimisha anif......." Hawa viumbe waone hivihivi! Ila ukisomo between the lines utagundua huyo mdada ana machungu ya kuachwa!!

Yah nikweli mkuu nishashuhudia mkasa kama huo, wanawake wanatumia njia hyo kupoza maumivu yao ya kauchwa ckuhizi kumponda mwanaume kwa style hyo wanaone bora kumuaribia tu. Source hua ni kuachwa tu not easy to handle for thm
 
Huyu mwanamke hamnazo kabisa, anajitahidi kutaka kumchafua mwenzake.

Inaelekea yupo kama yule anaelipa watu, sema huyu anakumbukia utamu aliokuwa anapata upande wa pili hadi anaandika kama vile alienda kushtaki polisi.

Duh amechanganikiwa na mapenzi kwa baba mtoto.
 
Kuwa na akili za kushikiwa tatizo si akiamua kuchukua akili zake ndo kama haya ya faiza yanajitokeza
 
Huyu demu anaonyesha kabisa hafai kuwa mama wa mtoto. Huu ujinga inaoinyesha sugu was right. Huwezi ukawa mtu unajiheshimu ukatumia lugha isiyo na staha kwenye jamii
 
attachment.php
 
Kwani haiwezekani mtu kufungua account fake kwa jina la Faiza Ally na kumchafua Sugu?
 
Ndege wanaofanana huruka pamoja, mtoto katoka kwenye afadhali kaenda kwenye potelea mbali.
Mama mshinda UCHI na baba nae mvuta BANGE
 
Kama kweli ni yeye Faiza ndio kapost hayo basi haina haja ya kusumbua vichwa tushamjua nani mvuta bangi hadi hapo
 
Huyo angejua kuvuta bangee inavutwa na wengi hata viongozi wakubwa duniani kama kawaida tu. Angesema ile nyeupe hapo eeeh
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom