IAMswaggstatic
Member
- Apr 23, 2012
- 76
- 71
Huyu sugu haya akiimba bure mimi siingii hana swaga wala style huyo jide sauti za nyimbo zake sasa hata mchiriku inanafuu zinaumiza masikio bora nikaziweke kwenye mashamba yangu ya mpunga kufukuzia ndege
Wewe umesikia SUGU anahitaji uwepo wako ndiyo achane,yule Legendary kabla haujajua kutumia simu.. Ana watu kibao nyuma yake na yeye atapeleka watu wengi pale eroo..