Sugu atangaza rasmi kumsapoti Jide Ijumaa

Huyu sugu haya akiimba bure mimi siingii hana swaga wala style huyo jide sauti za nyimbo zake sasa hata mchiriku inanafuu zinaumiza masikio bora nikaziweke kwenye mashamba yangu ya mpunga kufukuzia ndege

Wewe umesikia SUGU anahitaji uwepo wako ndiyo achane,yule Legendary kabla haujajua kutumia simu.. Ana watu kibao nyuma yake na yeye atapeleka watu wengi pale eroo..
 
KLMY blaauzi fm.. Na nilikuwa nampenda FA sasa kwa kutumika kwake kwa maslahi ya kumkandamiza JIDE ni rasmi nitahudhuria show ya Miaka 13 ya JIDE pale Nyumbani Lounge..
 
NO Apology! Live on stage like those old gold days!
Too Proud lazima upande na wale jamaa hatari GWM then Mapacha a.k.a maujanja supplier!
Lazima waombe vigoda wakae hahaha!
 
Too Proud kanipa mzuka na mimi kuwa pale!
Lazima waombe vigoda wakae!
 
Wadau mimi kama mmoja wa wapenda mabadiliko, nahisi kuna hatari ya rugay kumhujumu comando jide kupitia maccM nyie hamjahisi hivyo? Ukizingatia sugu ni mpinzani na Wafu ni maccM
 
Kweli mtu mweusi haaminiki, F.A alikuwa mpambe wakati JD na GADNER wanafunga ndoa, kumbe hakuwa na upendo nao kabisa na sasa anatuonyesha kwamba yeye ni mtu wa aina gani kwa ndani. Nakuchukia mwanafatuma kichiz yan; na ushukuru bongo ndio vile wengine GUN hatujui kwa kuzipata NINGEKUSHUT tu bitch wewe; sipendi kabisa wanaume wenye pigo za KICHOKOCHOKO, unaudhalilisha ule mkoa wenu, watu watajua kweli TANGA kwa kuliwa KISAMVU ndia zenu!!
 
Huyu sugu haya akiimba bure mimi siingii hana swaga wala style huyo jide sauti za nyimbo zake sasa hata mchiriku inanafuu zinaumiza masikio bora nikaziweke kwenye mashamba yangu ya mpunga kufukuzia ndege

huwezi ukawa hujalewa! Sema jide hakujiandaa vizuri pale nyumbani Lounge hapatoshi kabisa! Atakosa hela nyingi sana, bora angekodi Uwanja wa taifa..
 
Huyu sugu haya akiimba bure mimi siingii hana swaga wala style huyo jide sauti za nyimbo zake sasa hata mchiriku inanafuu zinaumiza masikio bora nikaziweke kwenye mashamba yangu ya mpunga kufukuzia ndege

Wewe ni mmoja kati ya MapresenterMashoga wa pale Clouds?
 
huku sugu kule pro.jay hapa jide na pale nature duh hii noma!hakuna uzalendo umenishinda nitaenda kwenye show!
mwanafatuma na rugay hapo vipi?
 
muendelee kumsapoti hata baada ya shoo yake, msilete unafiki hapa:nod:
 
napenda sana nyimbo ya NIMEAMINI RMX prof JAY fet.COMMANDO
nimeamini unataka uwe na mimi,watu wenye fitina wanataka...
wanachonga sana...nakuheshimu
 
Kweli mtu mweusi haaminiki, F.A alikuwa mpambe wakati JD na GADNER wanafunga ndoa, kumbe hakuwa na upendo nao kabisa na sasa anatuonyesha kwamba yeye ni mtu wa aina gani kwa ndani. Nakuchukia mwanafatuma kichiz yan; na ushukuru bongo ndio vile wengine GUN hatujui kwa kuzipata NINGEKUSHUT tu bitch wewe; sipendi kabisa wanaume wenye pigo za KICHOKOCHOKO, unaudhalilisha ule mkoa wenu, watu watajua kweli TANGA kwa kuliwa KISAMVU ndia zenu!!

Teh teh teh.....
Ditopile aliacha ile gun yake,sijui tutaipataje?
 
Huyu sugu haya akiimba bure mimi siingii hana swaga wala style huyo jide sauti za nyimbo zake sasa hata mchiriku inanafuu zinaumiza masikio bora nikaziweke kwenye mashamba yangu ya mpunga kufukuzia ndege
RM,
Are you sure??
 
napenda sana nyimbo ya NIMEAMINI RMX prof JAY fet.COMMANDO
nimeamini unataka uwe na mimi,watu wenye fitina wanataka...
wanachonga sana...nakuheshimu

Hapo hapo na ule wimbo MAMBO YA FEDHA...jide ft sugu mwanawane
 
Back
Top Bottom