barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Sugu anapumulia mashine. Kule kawe ndio balaa tu, arusha ndio kilio tayari..
Yaani msigwa ndio angalau ana chansi ya 50-50
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sugu anapumulia mashine. Kule kawe ndio balaa tu, arusha ndio kilio tayari..
kelele hizo hata harmorapa akipita anapata na zaidi, subiri kura zitaongea.
Hivi yule mtu wenu aliyetaka kusuguliwa vipi, ametosheka kusuguliwa?Mbeya imetulia kwa Tulia.Hata akitikisa sharubu, hawezi shinda mbeya. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki CCM.
Tatizo mweusiDarasa la saba basi, mbeya wanataka msomi
Tulia yatamkuta Kama ya Fenela Mkangara 2015 Jimbo la Kibamba..Dr.Tulia amesukumizwa tu huku kwenye siasa.
..Ni bora wangempeleka kwenye civil service, au wangempa Ujaji.
Mwenye digrii nne kafurushwa kyela!Darasa la saba basi, mbeya wanataka msomi
Unajibishana na misukule?aliyekudanganya Sugu darasa la 7 ni nani ?
Tulia yatamkuta Kama ya Fenela Mkangara 2015 Jimbo la Kibamba
Yaani kakodi ka kijikundi ka wapiga mayowe wachache ndiyo ustaarabu? Ona watu wanaendelea na biashara hawana time na mpayukaji
Hivi huyu mungu unayemwomba aibariki CCM ni mungu yupi!?? Huyu huyu wa isaka na yakobo!??Mbeya imetulia kwa Tulia.Hata akitikisa sharubu, hawezi shinda mbeya. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki CCM.
Kwi Kwi KwiYaani kakodi ka kijikundi ka wapiga mayowe wachache ndiyo ustaarabu? Ona watu wanaendelea na biashara hawana time na mpayukaji
Acha ufala hilo la saba ulimlipia wewe adaDarasa la saba basi, mbeya wanataka msomi
Angepewa majimbo ya Dar au Pwani sasa hivi angekua anapeta. Lakini boss wake aliamini ameshauua upinzani.Yule maza kadanganywa maskini...tulimshauri akatuona waongo..wacha apambane na hali yake.
Darasa la saba basi, mbeya wanataka msomi
aliyeshindwa 2015 sasa hivi ameshuka hadi kugombea udiwani2015 alimshinda mgombea wa CCM kwa tofauti ya kura elfu sitini safari hii anapita nazo zote
Alilepo kakoMwenye digrii nne kafurushwa kyela!
Mrudishe Magufuli shule akamalizie PHD halali hatutaki raisi mwenye PHĎ fekiAnarudi kwenye fani ya kufokafoka.