Uchaguzi 2020 Sugu atikisa Soko la Mitumba Soweto, ni katika ziara ya mwisho kabla ya kufunga kampeni

Uchaguzi 2020 Sugu atikisa Soko la Mitumba Soweto, ni katika ziara ya mwisho kabla ya kufunga kampeni

aliyeshindwa 2015 sasa hivi ameshuka hadi kugombea udiwani
Daaa hatari sana yaani jimbo la mbeya mjini,iringa mjini na tunduma nalala nikiwa na amani zote tumeyachukua asilimia mia moja hata waibe kura hawatazimaliza
 
Sugu anapumulia mashine. Kule kawe ndio balaa tu, arusha ndio kilio tayari..
Yaani msigwa ndio angalau ana chansi ya 50-50
2015 sugu ndio mbunge Tanzania nzima ndio aliongoza kura kwa wabunge wote kwa kumuacha mpizani wake ambae alikuwa mgombea wa ccm kwa elfu sitini na tano safarii hii anapita nazo zote yule mama akifikisha kura elfu kumi mbeya amejitahidi
 
Back
Top Bottom