Daaa hatari sana yaani jimbo la mbeya mjini,iringa mjini na tunduma nalala nikiwa na amani zote tumeyachukua asilimia mia moja hata waibe kura hawatazimaliza
2015 sugu ndio mbunge Tanzania nzima ndio aliongoza kura kwa wabunge wote kwa kumuacha mpizani wake ambae alikuwa mgombea wa ccm kwa elfu sitini na tano safarii hii anapita nazo zote yule mama akifikisha kura elfu kumi mbeya amejitahidi