CHADEMA is led by a mobster Mboye, no wonder the surbodinates copy their prexy's ways. Mboye has yet to enoxerate himself from allegations that he is an infamous marijuana smoker. Imagine in the future having these type of hooligans acting as our ministers, this should never happen during my life time. I am not stupified when I see these 'leaders' coax desperate youths into deluging streets, doing vandalism under the umbrella of peaceful demonstrations.
Nilisema taarifa yake rasmi kwa vyombo vya habari ilikuwa na makosa ya kiuandishi kwa mtu mwenye wadhifa wa mbunge, lakini hii status yake kwenye facebook imetia fora.
Hapa Sugu kama role model wa vijana anawafunza nini?[/QUOTE]
Funzo ni kwamba ukicheka na Nyani utavuna mabua, na ukitaka kumuuua Nyani vilevile usimwangalie sura
CHADEMA is led by a mobster Mboye, no wonder the surbodinates copy their prexy's ways. Mboye has yet to enoxerate himself from allegations that he is an infamous marijuana smoker. Imagine in the future having these type of hooligans acting as our ministers, this should never happen during my life time. I am not stupified when I see these 'leaders' coax desperate youths into deluging streets, doing vandalism under the umbrella of peaceful demonstrations.
Mkuu, haya maneno angesema muhuni wa Tandale Uzuri wala kusingekua na malalamiko yoyote, tatizo kayasema mbunge, mtunga sheria wa bunge letuTuacheni ushabiki, maneno aliyosema Sugu ni utovu wa nidhamu kwa wapiga kura wake ambao wengi walihudhuria hilo tamasha. Hatuwezi kuwa na viongozi wa namna hii ambao hawana subira na stara kwa yale wanayoyaamini au labda Sugu hafanani na status yake?
Hakuna neno la kuchagua hapo yote ni upuuziNikiambiwa nichague kati ya haya hapo chini, nachagua namba 3:1. UZINZI2. WIZI3. UVUTAJI BHANGE4. UFISADI5. UNAFIKI..............wewe utachagua namba ngapi ndugu!!??
Hakuna neno la kuchagua hapo yote ni upuuzi
Mimi ni mtu mzima najiheshimu ata siku moja siwezi kutumia matusi kufikisha ujumbe, lazima mmkubali Sugu kafanya kitu cha kihuni
Alichoandika mr 2 sugu kuhusu fiesta kwenye wall yake ya facebook
kama hii ndio chadema school of thought, muda si mrefu nitarudisha kadi niungane na mtikila.
Mods in jf tunasema "where we dare to talk openly"
so please if that is true then msiondoe hii thread.
CDM haitaji watu wa sampul yako kwani imani na matumini yako umeweka kwa watu binafsi na si chama na sera zakeAlichoandika mr 2 sugu kuhusu fiesta kwenye wall yake ya facebookkama hii ndio chadema school of thought, muda si mrefu nitarudisha kadi niungane na mtikila.Mods in jf tunasema "where we dare to talk openly"so please if that is true then msiondoe hii thread.
Kijana ebu acha kushabikia matusi, kumbuka sugu ni mbunge sio muhuni wa Kwa Mtogore, lazima hawe na heshima mbele ya jamiiBrooh acha hizo, Mtu mzima ni mjaluo tu na ukumbuke kuwa Rais wako alishasema kuwa "watanzania mkitaka kula lazima mliwe kwanza"..je hilo kwa mtazamo wako sio tusi?Sugu endelea hivyohivyo, wapiga kura wa Mbeya mjini wako pamoja na wewe kwani wanakufahamu rangi zako toka ukiwa kitaani na huvai ngozi ya kondoo asilani .....bigup