Sugu awatukana waandaaji wa fiesta kwenye facebook

Huyu jamaa aangalie sana na chadema inabidi wamsaidie huyu sugu sivyo jimbo hilo litawatoka mwaka 2015
 

Kijana ebu acha kushabikia matusi, kumbuka sugu ni mbunge sio muhuni wa Kwa Mtogore, lazima hawe na heshima mbele ya jamii
kikwete ni nani kwa kauli yake hapo juu? na wewe acha use.nge. mtu analiwaje?
 
kikwete ni nani kwa kauli yake hapo juu? na wewe acha use.nge. mtu analiwaje?
Hawa ndio viongozi wa (Bavicha) ndio wanataka tuwape nchi, utawajua tu kwa matusi yao ndio maana wanamtetea muhuni mwenzao Sugu
 
hivi bill clinton aliyefanya mapenzi na lewinsky na maneno ya sugu,yupi aliyeharibu zaidi,by the way hadi kwenye facebook wall yake unamfatafata sana,mimi nilidhani aliita press conference na kuongea hayo maneno!!mwizi chenge na maneno ya sugu,nani anawaumiza watz au nani mbaya kwa watz????ye sugu is not right but not completely wrong....
 
Kijana ebu acha kushabikia matusi, kumbuka sugu ni mbunge sio muhuni wa Kwa Mtogore, lazima hawe na heshima mbele ya jamii

Siku zote nyie Magamba mkielezwa ukweli ni matusi, hii inaonekana hata mkiwa Bungeni lakini tambueni kuwa mnyonge akichoka hata silaha atanyanyua kwani bora kufa akidai haki kuliko kugandamizwa na hao jamaa zako, kumbuka pia kuwa haki yako unatakiwa uidai wewe mhusika na sio mwingine hivyo Sugu yupo vitani na penye vita huchagui silaha na ndicho Sugu alichokifanya bila kujali Ubunge wake vilevile kama mafisadi wanavyoiba bila kujali heshima ya ubunge wao waliopewa na wanainchi, heshima katika jamii mkuu inatakiwa iwe bilateral na si toka upande mmoja kama unavyotaka wewe, mwisho nakuomba ukumbuke kuwa tupo kwenye mtandao hunijui nami sikujui hivyo basi nakuomba kwa uungwana tu usiniite kijana kwani kiumri nafikiri labda wewe ni kijana,
 
watu mtasema yote ila jamaa yenu kachemka na ni uvivu wa kufikiri kuunganisha usanii wake na upuuzi aliofanya...yeye ni kiongozi wa jimbo na wananchi wake vijana kwa wazee wanamsikiliza..
Kwa hiyo unashauri nini?subiri siku mtu aje atumie jina lako kupata mamilioni ndio utajua.
 
..times have changed.

..pia u have consider alikuwa anaongea na watu gani.

..marafiki zake huko kwenye facebook inawezekana wako comfortable na lugha anayotumia huko.

..ninavyoelewa kwenye facebook kama hupendezwi na mwenendo wa rafiki yako kuna namna ya kukata mawasiliano na mtu huyo.

..kwa jinsi mafisadi wanavyotupelekesha mara nyingi sana nimejisikia kutumia maneno kama aliyotumia Mheshimiwa Sugu.
 
Hilo neno lipo kwenye kamus that means linatumika sasa mnashangaa nn? kawaita wahusika waseng e kwa sa babu ni waseng e..sasa kama hawatak kuitwa waseng e waache huo useng e
 

Ulivyojisikia hivyo uliyatumia au ulisita? Na kama ulisita ni nini sababu zako?
 
Asante sana mkubwa umenisaidia kuwasilisha nilichokuwa nataka kuandika,big up sana!....Kwangu Sugu ni shujaa na ataendelea kuwa role model wangu.HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE!
 
... WASE.NGE pamoja na kufoji na kutumia sauti yangu ya miaka mitatu nyuma kwenye tangazo lao la fiesta ili kuwavuruga watu
Sugu, miaka mitatu iliyopita ulikuwa hujajua exploitation ya Fiesta, au ulikuwa huna kitu ukawa una kiss rear end za kina Ruge?

Video yako imeonyesha kwamba wewe mwenyewe at some point kina Ruge waliku pimp na ukalegea ukakubali, dili la Malaria lilivyoenda kombo ndio ukashatuka kwamba unakuwa screwed front and back, lakini huna historia ya kupinga Fiesta na empire ya Clouds.

Sasa u-fifty cent kwenye nafasi kama ya Ubunge hausaidii, utumie ku amass power, political, economic, legal, ya kushindana na Clouds empire, especially utakapojikuta mtaani tena huna headlines za Ubunge.


 
Una uhakika gani hawalipi kidi? Mpaka waje kukutangazia kuwa wamelipa kodi kiasi flani? TRA siyo wazembe kama unavyofikiri
kwanin unawatetea wez hiv kwa kuangalia 2 huon mzk wetu ulivoporomoka wako wap kina juma nature,jaymo,rayc, pili watu wenyewe wambea kinoma pili kwa nin wanapenda kufuatilia maisha ya watu
 
tena kuna mijitu inasema hakwenda bungeni kisa fiesta, hivi kati ya wabunge zaidi ya 300 watanzania tuantegea mahudhurio ya sugu pekee
 
Hata ze comedy wanatumia maneno ya dizain hiyo.mfano jibwaa hilo na mengine 2. Acha awatengue 2. Kama vip mie namwongezea awambie.`sh**zy type
 
Hata ze comedy wanatumia maneno ya dizain hiyo.mfano jibwaa hilo na mengine 2. Acha awatengue 2. Kama vip mie namwongezea awambie.`sh**zy type

Duh.......
1. Unacompare jinsi anavyo takiwa kubehave mbunge na jinsi wanavyo behave comedians? Au unataka kusema Sugu ni mchekeshaji? Kama ni hivyo sawa.

2. Kwa hiyo lugha ikitumiwa na Ze Comedy basi imehalalishwa kutumika na kila mtu? SMH! I'm dumbfounded by your analysis.
 
tena kuna mijitu inasema hakwenda bungeni kisa fiesta, hivi kati ya wabunge zaidi ya 300 watanzania tuantegea mahudhurio ya sugu pekee
Hata kama hakwenda cku akienda c anacover cku zote ambazo hakwenda. Kwan kina wasira c walikuwa wamesinzia 2.
 
unataka kujua umuhimu wa lugha aliyotumia??..amefanikiwa kupata attention kubwa ya watu wa rika mbalimbali ivyo mjadala aliouanzisha ambao ndio shabaha yake kubwa utakuwa na wigo mpana zaid na utachukua watu wengi zaidi kuujadili

Kupata attention ya rika mbalimbali? Ata pata attention ya watu kama wewe tu ila watu wazima watampotezea na hata vijana wenyewe uelewa watamuona hana maana.
 
Kwawale mnao fuatilia bunge msikilize tar 11 na 27 utaelewa kwann alifanya alicho fanya na isitoshe neno ****** si tusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…