Gabeji
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 2,174
- 3,156
Jamani sugu sijamwona kabisa katika kumpigania Tundu Lisu, au kulani vitendo vya polisi, yeye kama mwenyeki wa kanda ya kusini, yupo kimyaaaaa, ni kama Hajui kuwa mwenyekiti wake wa taifa amekamatwa,
Kama Mbowe ameenda kumuona wewe ni nani hasa? Umeshindwa kutoa hata kauli ya kulaini kupigwa kwa wanachama wako? Umekosa utu ,ubinadamu kabisa Sugu.
Inawezekana ww ni sehemu ya wale wasaliti wa taifa hili,wanaojita G55, mbona mwenzio boni yai, amefungua ukurasa mpya,amesahau yaliyopita!
Ukimya wako unaonesha kabisa kuwa wewe umekuwa sehemu ya CCM, (informal).
Juzi kuna tetesi kuwa unataka kujiuzuru uwenyekiti wa kanda lakini umejifanya kukanusha!
"Actions speak more rouder than words"
KWA uwezo wako ndogo wa kujenga hoja, ni Muhimu utubu na urudi kuendeleza mapambano ya ukombozi, wanambeya hawata kuacha salama. Rudi !rudi! rudi!,
Au tangaza kuwa wewe sio mwanaCHADEMA, kuliko kuwa mchwa ndani ya CHADEMA, wasaliti wote kiama chao kinakuja.
Mungu ibariki CHADEMA ,Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.