Sugu boss wako Mbowe ameenda kumuona mwenyekiti Tundu Lisu mabusu wewe umesusa!

Sugu boss wako Mbowe ameenda kumuona mwenyekiti Tundu Lisu mabusu wewe umesusa!

Ukimya wako unaonesha kabisa kuwa wewe umekuwa sehemu ya CCM, (informal).
Uliopoandika "informal" ulikusudia nini?
Juzi kuna tetesi kuwa unataka kujiuzuru uwenyekiti wa kanda lakini umejifanya kukanusha!
"Actions speak more rouder than words"
Juzi Sugu alikuwa miongoni mwa viongozi waandamizi wa CHADEMA waliofanya mkutano na waandishi wa habari pale Makao Makuu ya CHADEMA.
 
Nafikiri haya masuala mngeachana nayo. Mbona mntaka kumpendekezesha Lissu kwa hao watu? Mbowe mbowe mbowe!! Who is Mbowe? Who is Sugu? Kwan wasipokwemda kinapungua nini kwa Lissu?? Wakienda ndio watamtoa au??
 
Strong together mkuu
 
Mi ndo thugu , ukipenda niite Taita, Mahabuthu thiendi kumthalimia lithu, kwandha cheni yangu bei yake unaijua?
 
ukiachana na sugu ambae ni kiongozi wa huko mbali kidogo magharibi ambae pia alituhumiwa kwa rushwa baada ya kumshinda msigwa,
Ndiyo maana hii nchi haiendelei. Sasa Sugu anatoka magharibi? Utakuta wewe ni miongoni mwa viongozi wa CCM ngazi ya Taifa.

Mtu hujui hata magharibi mwa Tanzania ni wapi unakujaje hapa kuleta porojo?
 
ukiachana na sugu ambae ni kiongozi wa huko mbali kidogo magharibi ambae pia alituhumiwa kwa rushwa baada ya kumshinda msigwa,

hivi mwenyekiti wa chadema kata, wilaya na mkoa anakotoka huyo mropokaji korokoroni, wameenda kumsabahi huyo mtuhumiwa kweli, ukiachilia mbali mwenyekiti wa kanda ya kati anakotoka huyo muungwana? :NoGodNo:
Gentleman, tukutane kwenye kura za maoni
 
Ndiyo maana hii nchi haiendelei. Sasa Sugu anatoka magharibi? Utakuta wewe ni miongoni mwa viongozi wa CCM ngazi ya Taifa.

Mtu hujui hata magharibi mwa Tanzania ni wapi unakujaje hapa kuleta porojo?
Tlatahal ni chawa wa ccm
 
Ndiyo maana hii nchi haiendelei. Sasa Sugu anatoka magharibi? Utakuta wewe ni miongoni mwa viongozi wa CCM ngazi ya Taifa.

Mtu hujui hata magharibi mwa Tanzania ni wapi unakujaje hapa kuleta porojo?
jieleze bila kuropoka gentleman na itapendeza sana,

na mambo madogo yasifanye upanic na kupoteza kabisa uelekeo wa hoja. Kua mtulivu na ujieleze kwa faida ya wadu wote wa JF :NoGodNo:
 
Jamani sugu sijamwona kabisa katika kumpigania Tundu Lisu, au kulani vitendo vya polisi, yeye kama mwenyeki wa kanda ya kusini, yupo kimyaaaaa, ni kama Hajui kuwa mwenyekiti wake wa taifa amekamatwa,

Kama Mbowe ameenda kumuona wewe ni nani hasa? Umeshindwa kutoa hata kauli ya kulaini kupigwa kwa wanachama wako? Umekosa utu ,ubinadamu kabisa Sugu.

Inawezekana ww ni sehemu ya wale wasaliti wa taifa hili,wanaojita G55, mbona mwenzio boni yai, amefungua ukurasa mpya,amesahau yaliyopita!

Ukimya wako unaonesha kabisa kuwa wewe umekuwa sehemu ya CCM, (informal).
Juzi kuna tetesi kuwa unataka kujiuzuru uwenyekiti wa kanda lakini umejifanya kukanusha!
"Actions speak more rouder than words"

KWA uwezo wako ndogo wa kujenga hoja, ni Muhimu utubu na urudi kuendeleza mapambano ya ukombozi, wanambeya hawata kuacha salama. Rudi !rudi! rudi!,

Au tangaza kuwa wewe sio mwanaCHADEMA, kuliko kuwa mchwa ndani ya CHADEMA, wasaliti wote kiama chao kinakuja.

Mungu ibariki CHADEMA ,Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Msigwa ameenda kumuona Lissu?
 
Uliopoandika "informal" ulikusudia nini?

Juzi Sugu alikuwa miongoni mwa viongozi waandamizi wa CHADEMA waliofanya mkutano na waandishi wa habari pale Makao Makuu ya CHADEMA.
Sugu alikuwepo pale.
Akaambiwa,"Sasa,na we pia toa maoni yako kuhusu yaliyotokea jana"
Akauliza swali moja tu,"How do we go on from here?" Halafu akarudisha microphone.
Na sasa amejiuzulu.
So why has this idiot asked,"Sugu,una mipango gani?"
 
Back
Top Bottom