Sugu boss wako Mbowe ameenda kumuona mwenyekiti Tundu Lisu mabusu wewe umesusa!

Sugu alikuwepo pale.
Akaambiwa,"Sasa,na we pia toa maoni yako kuhusu yaliyotokea jana"
Akauliza swali moja tu,"How do we go on from here?" Halafu akarudisha microphone.
Na sasa amejiuzulu.
So why has this idiot asked,"Sugu,una mipango gani?"
Mkuu huyu ,kiroho hatupo nae, ni swala la mda tu
 
Jamani sugu sijamwona kabisa katika kumpigania Tundu Lisu, au kulani vitendo vya polisi, yeye kama mwenyeki wa kanda ya kusini, yupo kimyaaaaa, ni kama Hajui kuwa mwenyekiti wake wa taifa amekamatwa,

Kama Mbowe ameenda kumuona wewe ni nani hasa? Umeshindwa kutoa hata kauli ya kulaini kupigwa kwa wanachama wako? Umekosa utu ,ubinadamu kabisa Sugu.

Inawezekana ww ni sehemu ya wale wasaliti wa taifa hili,wanaojita G55, mbona mwenzio boni yai, amefungua ukurasa mpya,amesahau yaliyopita!

Ukimya wako unaonesha kabisa kuwa wewe umekuwa sehemu ya CCM, (informal).
Juzi kuna tetesi kuwa unataka kujiuzuru uwenyekiti wa kanda lakini umejifanya kukanusha!
"Actions speak more rouder than words"

KWA uwezo wako ndogo wa kujenga hoja, ni Muhimu utubu na urudi kuendeleza mapambano ya ukombozi, wanambeya hawata kuacha salama. Rudi !rudi! rudi!,

Au tangaza kuwa wewe sio mwanaCHADEMA, kuliko kuwa mchwa ndani ya CHADEMA, wasaliti wote kiama chao kinakuja.

Mungu ibariki CHADEMA ,Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Sasa umeshamtukana ana uwezo mdogo anarudi wapi tena? Hicho chama chenu ni cha watu kweli?
 
Unaandika Uongo kwa faida ya nani?
 
Anataka kuhamia CCM, kahaidiwa jimbo Mbeya ikigawanywa.
 
Wacha uongo juzi alikuwepo HQ wakati wanawapokea majeruhi walioumizwa na majambazi wa Mama
 
yakufia nini? yeye ana mahoteli na miradi mingine.leo ikitokea uasi kama mwenyekiti anavyosema anahamasisha uasi hoteli zake zote na miradi yake vyote victachomwa moto.
acheni kushabikia vitu vya hovyo kabisa.
 
Anaogopa akienda, Mropokaji Lissu atasema alimpelekea pesa za Mama Abduli. Kwa mwenye akili yoyote anakaa mbali na Lissu. Yeye kusingizia mtu jambo dogo sana kwake!
 
Mwema kweli ni mpenzi wa Mungu
 
yakufia nini? yeye ana mahoteli na miradi mingine.leo ikitokea uasi kama mwenyekiti anavyosema anahamasisha uasi hoteli zake zote na miradi yake vyote victachomwa moto.
acheni kushabikia vitu vya hovyo kabisa.
Huo ni uoga katika kupigania mabadiliko, bila chadema hayo mahotel asingepata, angekuwa BAdo tupo nae sido tunauza nguo wote
 
Back
Top Bottom