Pre GE2025 Sugu hata akishinda Ubunge, asitangazwe, haiwezekani tupoteze heshima ya nchi kwa kumpoteza Rais wa IPU?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tulia kuwa rais wa IPU kama nchi tunaingiza dollar ngapi kwa siku
 
Sugu atafute tu kingine cha kufanya, hiyo mikutano na mabalozi haitomfaa chochote kuurejesha ubunge.
Tulia kwani amepata Cha kufanya??Sugu ni rais wa mbeya 2025 hata wakigawa Jimbo,atamfata tulia uko uko
 
Sifa ni kuwa mbuge tu, mbona ni rahisi sana kwa Tulia kuwa mbunge, Rais si atamteua kuwa mbunge iwapo ataangukia pua au wabunge wa kuteuliwa hawatakiwi? Au atagombea ubunge wa africa mashariki abako Sugu hawezi kufika.
 
Statangazwa tu maana hizo ndio sheria zilizopo. So ombi ombi lako ni la kihisia zaid, na serikali haifanyi kazi kwa hisia
 
Sugu ni Kati ya wabunge ambao hata akigombea kenya uganda urundi rwanda atachaguliwa tu achlia mbeya ! Kama hujui nguvu ya sugu muulize marehemu kandoro aliposhindwa kuzima mgomo wa machinga ilibidi serikali imkodie ndege aje atulize fujo RAIS WA MBEYA
 

Sugu ni kama Mitume wengine waliopewa umma wao.

Kwa karne hii Umma wa Mbeya ni wa Sugu.
Tulizana ni Kafri na mwizi aliyelenga pesa na kumaliza roho za watu badala ya kuziokoa.
 
Naunga mkono hoja,kijana una akiri na maono ya mbali sana,hakika ure a great thinker.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…