Atakuwa siyo Mbunge. Nn kirefu cha IPU?Kwani Tulia akiangushwa kama tunavyotarajia , hiyo itamvuaje Urais wa IPU?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa siyo Mbunge. Nn kirefu cha IPU?Kwani Tulia akiangushwa kama tunavyotarajia , hiyo itamvuaje Urais wa IPU?
Chief, umewahi kukutana na mawazo usiyoyatarajia? Ulifanya nini baada ya hapo, ulitamani kujinyonga au ulitamani ujifukie aridhini?Aisee wewe ni taira tena mbumbumbu pro max. Kwa kweli nimejitahidi sana kutumia lugha ya ustaarabu kwenye kuandika hii caption. Tena bila ya aibu umeandika huu uzi kwa ustadi na kuzingatia kanuni zote za uandishi kuthibitisha kuwa to some extent you're educated. Wapuuzi kama wewe ndio mlioshinikiza Job Ndugai kupokwa wadhifa kwa kuikosoa serikali ilhali hili ni jukumu la spika wa bunge kikatiba kabisaaa. Tanzania ni nchi yenye demokrasia, it is a democratic Republic of tz na sio familia kuongozwa kama unavyofikiria. Kwanza mtu kama wewe unatakiwa kufungwa kwa kuushawishi uma kuivunja sheria ya nchi kibepari. Bila shaka ushauri wa watu kama nyinyi mwishowe utaliingiza taifa kwenye majanga kama majirani zetu wa +254.
Jifunze kuvumilia hoja za wengine, kama ni za kipumbavu, jadiliana yako ioneshe ulipo upumbavu wa hoja, na siyo kumjadili mtoa hoja!MOJA YA WATU WAJINGA NA WAPUMBAVU KUWAHI KUTOKEA NCHI HII BASI NI WEWE JAMAA, TAKATAKA KABISA WEWE
Binafs yangu siyo Muccm! Ila kwenye hili tuacheni masikhala bhana!
Sifa moja wapo ya kuwa Rais wa mabunge Duniani IPU, ni lazima uwe mbunge pia katika nchi utokayo
Swali langu ni dogo tu hapa, Dr.Tulia asipoutetea ubunge wake pale Mbeya mjini, anakuwa amekosa sifa za kuendelea kuwa Rais wa mabunge Duniani
Inafahamika kabisa kwamba, Wanambeya wanaweza wasimpe kura za kutosha Dr.Akson Tulia, Je, hata sisi Watanzania tukubali kukosa hii heshima mojawapo katika nchi yetu ya Dr. Tulia kuwa kiongozi mkubwa anayetambulika Duniani kwa kushindwa kumwambia Sugu asigombee au kumwibia kura zake mra tu itakapoonekana kashinda
Embu fikiri..! Nafasi hiyo hiyo ingelikuwa iko kwa Sugu, ni kweli wanachadema na Watanzania wangependa Sugu atoke kwenye nafasi hiyo na kupoteza sifa ya kuwa Rais wa IPU?
Mh Sugu, tafadhari tafuta jimbo lingine mapemaa!
Sugu ni mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa, hiyo nafasi ya kugombea Ubunge apewe mwanachadema mwingine.Sugu atafute tu kingine cha kufanya, hiyo mikutano na mabalozi haitomfaa chochote kuurejesha ubunge.
Asubiri kuteuliwa na Samia ubunge wa viti vya rais.Atakuwa siyo Mbunge. Nn kirefu cha IPU?
Huo urais wa lipualipua alionao Tulia umekusaidia nini wewe?Binafs yangu siyo Muccm! Ila kwenye hili tuacheni masikhala bhana!
Sifa moja wapo ya kuwa Rais wa mabunge Duniani IPU, ni lazima uwe mbunge pia katika nchi utokayo
Swali langu ni dogo tu hapa, Dr.Tulia asipoutetea ubunge wake pale Mbeya mjini, anakuwa amekosa sifa za kuendelea kuwa Rais wa mabunge Duniani
Inafahamika kabisa kwamba, Wanambeya wanaweza wasimpe kura za kutosha Dr.Akson Tulia, Je, hata sisi Watanzania tukubali kukosa hii heshima mojawapo katika nchi yetu ya Dr. Tulia kuwa kiongozi mkubwa anayetambulika Duniani kwa kushindwa kumwambia Sugu asigombee au kumwibia kura zake mra tu itakapoonekana kashinda
Embu fikiri..! Nafasi hiyo hiyo ingelikuwa iko kwa Sugu, ni kweli wanachadema na Watanzania wangependa Sugu atoke kwenye nafasi hiyo na kupoteza sifa ya kuwa Rais wa IPU?
Mh Sugu, tafadhari tafuta jimbo lingine mapemaa!
Tumeshindwa kwa kutumia "roho tua"/royal tour tutaweza kwa kumtumia Tulia?Hayo ni madaraka yake kisiasa ila kiuchumi nina mashaka.Ni kule kuitangaza nchi tu my dear
Haya tusubiriUsiishi kwa kukariri na mazoea. Shit happens
Naunga mkono hoja,wajinga wasipewe nafasi ya kutuchagulia mjinga mwenzakoBinafs yangu siyo Muccm! Ila kwenye hili tuacheni masikhala bhana!
Sifa moja wapo ya kuwa Rais wa mabunge Duniani IPU, ni lazima uwe mbunge pia katika nchi utokayo
Swali langu ni dogo tu hapa, Dr.Tulia asipoutetea ubunge wake pale Mbeya mjini, anakuwa amekosa sifa za kuendelea kuwa Rais wa mabunge Duniani
Inafahamika kabisa kwamba, Wanambeya wanaweza wasimpe kura za kutosha Dr.Akson Tulia, Je, hata sisi Watanzania tukubali kukosa hii heshima mojawapo katika nchi yetu ya Dr. Tulia kuwa kiongozi mkubwa anayetambulika Duniani kwa kushindwa kumwambia Sugu asigombee au kumwibia kura zake mra tu itakapoonekana kashinda
Embu fikiri..! Nafasi hiyo hiyo ingelikuwa iko kwa Sugu, ni kweli wanachadema na Watanzania wangependa Sugu atoke kwenye nafasi hiyo na kupoteza sifa ya kuwa Rais wa IPU?
Mh Sugu, tafadhari tafuta jimbo lingine mapemaa!
Raia aliyezaliwa Mbeya Mjini asingekuwa na fikra kama za kwako! Unless uwe ni Mzambia, M-Malawi au Kutoka Mozambique.unauliza kuishi, vip kuzaliwa gentleman itafaa ?[emoji205]
hoja ikiwa nzito bana na halafu ya kweli,Raia aliyezaliwa Mbeya Mjini asingekuwa na fikra kama za kwako! Unless uwe ni Mzambia, M-Malawi au Kutoka Mozambique.

MBONA KUNA BAADHI YA WABUNGE NI MAWAZIRI, HILI KWAKO LIMEKAAJE PENGINE? AU JICHO LAKO LINAONA UPANDE WA SUGU TU?Sugu ni mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa, hiyo nafasi ya kugombea Ubunge apewe mwanachadema mwingine.
Otherwise nitaona hata hao Chadema ni chama cha misukule tu, mtu mmoja hawezi kuhodhi nafasi zote
Majukumu ya ubunge na kujenga chana kanda nzima hayafai kushikiliwa na mtu mmoja.
Mkuu, Mimi ni Chadema mwenye msimamo wa kati, ki ukweli kabisa, Tulia asipotee kizembeLabda mfute uchaguzi katika jimbo la Mbeya au figisu za 2020 zifanyike!
Hata hivyo Tulia anaweza kuchaguliwa kuwa mbunge wa kuteuliwa katika zile nafasi 10 za mheshimiwa Rais then akaendelea na nafasi yake kuyawakilisha mabunge yote duniani.
Hata wakizalisha jimbo lingine atakutana na mwabukusi kule, nako hatatoboaAtapewa Ubunge wa kuteuliwa ili mradi demokrasia ichukue mkondo wake. Ubunge wa nguvu utamvunjia heshima ya kimataifa na sifa ya kuongoza Mabunge. Suluhisho wazalishe jimbo lingine Mbeya mjini ili kulinda heshima yake.fullstop