Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Tulia atashinda me ndatoka nilipo na kurudi Mbeya kupiga Kura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni kazi wa Mbeya, nguvu ya Sugu inajulikana, lakini figisu zitakazofanyika zitakuacha na mshangao wa mwaka. Unaweza kuwa unaongea kishabiki, inajulikana Tulia hatoshinda kwenye sanduku la kura, hilo hata CCM wanalijua. Narudia kukwambia tena kuwa haitowezekana Sugu kutangazwa kumshinda Tulia, labda si CCM ninayoifahamu.Kila siku siyo Jumapili
Kumpenda Tulia ni haki ya yeyote na ana wapenzi wengi, Ila kwenye uchaguzi kuna kushinda na kushindwa.Wapi nimesema nampenda Tulia? Kutoa maoni yangu nimekuwa mpambe?
Unadhani mimi ni kama wewe chawa wa Mbowe? Mimi ni mtu huru, sifungamani na yeyote wala chama chochote cha kisiasa.
Sasa kwa nini kutumike njia za panya, hapa ni kucheza kidikiteta tu mkuuKumpenda Tulia ni haki ya yeyote na ana wapenzi wengi, Ila kwenye uchaguzi kuna kushinda na kushindwa.
Wote wanaoshinda na kushindwa ni watanzania na ndiyo maana halisi ya uchaguzi.
Pia Tulia akishindwa uchaguzi bado ataendelea kuwa rais wa IPU na nchi/taifa lazima limlinde kwa njia zote (zipo).
... usicheze na Sugu, hapo kaishaandaa kreti za bia kadhaa atakazowahonga wasimamizi wa uchaguzi!Sugu atafute tu kingine cha kufanya, hiyo mikutano na mabalozi haitomfaa chochote kuurejesha ubunge.
Hivi unadhani wale mabalozi wanaoongozana kwenda kwa Sugu ni Wajinga? Halafu mbona Sugu kishaangusha wengi hapo Mbeya Mjini na ni ccm hii hii, Why Tulia? Tulia ana ukubwa gani Mbeya au Tanzania, aliwahi kufanya nini kwao au nchi hii hadi umpe utukufu huo?Mimi ni kazi wa Mbeya, nguvu ya Sugu inajulikana, lakini figisu zitakazofanyika zitakuacha na mshangao wa mwaka. Unaweza kuwa unaongea kishabiki, inajulikana Tulia hatoshinda kwenye sanduku la kura, hilo hata CCM wanalijua. Narudia kukwambia tena kuwa haitowezekana Sugu kutangazwa kumshinda Tulia, labda si CCM ninayoifahamu.
Siasa ni fursa
AIsee Tulia aondoke kote kote tu hana faida!Binafs yangu siyo Muccm! Ila kwenye hili tuacheni masikhala bhana!
Sifa moja wapo ya kuwa Rais wa mabunge Duniani IPU, ni lazima uwe mbunge pia katika nchi utokayo
Swali langu ni dogo tu hapa, Dr.Tulia asipoutetea ubunge wake pale Mbeya mjini, anakuwa amekosa sifa za kuendelea kuwa Rais wa mabunge Duniani
Inafahamika kabisa kwamba, Wanambeya wanaweza wasimpe kura za kutosha Dr.Akson Tulia, Je, hata sisi Watanzania tukubali kukosa hii heshima mojawapo katika nchi yetu ya Dr. Tulia kuwa kiongozi mkubwa anayetambulika Duniani kwa kushindwa kumwambia Sugu asigombee au kumwibia kura zake mra tu itakapoonekana kashinda
Embu fikiri..! Nafasi hiyo hiyo ingelikuwa iko kwa Sugu, ni kweli wanachadema na Watanzania wangependa Sugu atoke kwenye nafasi hiyo na kupoteza sifa ya kuwa Rais wa IPU?
Mh Sugu, tafadhari tafuta jimbo lingine mapemaa!
Sawa mkuuHivi unadhani wale mabalozi wanaoongozana kwenda kwa Sugu ni Wajinga? Halafu mbona Sugu kishaangusha wengi hapo Mbeya Mjini na ni ccm hii hii, Why Tulia? Tulia ana ukubwa gani Mbeya au Tanzania, aliwahi kufanya nini kwao au nchi hii hadi umpe utukufu huo?
Sasa Nakuhakikishia kwamba Tulia ataangushwa na Sugu atatangazwa, endelea kudhani ni ushabiki, Kama ni Uspika si mleteni tu awe mgombea wenu, ni wapi Katiba ya Tanzania imesema Spika lazima awe mbunge?
William Ruto hakujua yatakayomtokea kama ccm isivyojua
Safari hii mkileta ujinga Nchi inapasuka mchana kweupe na Tuko tayari
Una akili sana, wewe utakuwa umesoma na Nyerere RIPKwani Ubunge wa Viti Maalum si upo?
Hivi ile issue ya kugawanya Jimbo iliishia vipi?Binafs yangu siyo Muccm! Ila kwenye hili tuacheni masikhala bhana!
Sifa moja wapo ya kuwa Rais wa mabunge Duniani IPU, ni lazima uwe mbunge pia katika nchi utokayo
Swali langu ni dogo tu hapa, Dr.Tulia asipoutetea ubunge wake pale Mbeya mjini, anakuwa amekosa sifa za kuendelea kuwa Rais wa mabunge Duniani
Inafahamika kabisa kwamba, Wanambeya wanaweza wasimpe kura za kutosha Dr.Akson Tulia, Je, hata sisi Watanzania tukubali kukosa hii heshima mojawapo katika nchi yetu ya Dr. Tulia kuwa kiongozi mkubwa anayetambulika Duniani kwa kushindwa kumwambia Sugu asigombee au kumwibia kura zake mra tu itakapoonekana kashinda
Embu fikiri..! Nafasi hiyo hiyo ingelikuwa iko kwa Sugu, ni kweli wanachadema na Watanzania wangependa Sugu atoke kwenye nafasi hiyo na kupoteza sifa ya kuwa Rais wa IPU?
Mh Sugu, tafadhari tafuta jimbo lingine mapemaa!
Hatuandiki kishabiki tunaandika uhalisia, watu Mbeya siyo Wajinga kwamba wanaweza kuburuzwa kirahisi, Huyu Sugu siyo mwepesi kama mnavyodhani, Uliza aliko yule OCD aliyemnyanyasa 2020, angalieni mambo kwa upanaSawa mkuu
Kwanini Tulia na yeye asitafute kazi nyingine?Sugu atafute tu kingine cha kufanya, hiyo mikutano na mabalozi haitomfaa chochote kuurejesha ubunge.
Sugu alishasema ataenda kugombea atakapogombea TuliaHivi ile issue ya kugawanya Jimbo iliishia vipi?
Sawa mkuuHatuandiki kishabiki tunaandika uhalisia, watu Mbeya siyo Wajinga kwamba wanaweza kuburuzwa kirahisi, Huyu Sugu siyo mwepesi kama mnavyodhani, Uliza aliko yule OCD aliyemnyanyasa 2020, angalieni mambo kwa upana