Hilo liko wazi, hata 2020 hakushinda lakini ndiye mbunge. Lazima CCM watumie hekima sana kuondoa vurugu zisizo na tija.Labda mfufueni Magufuli, Lakini Tulia hawezi kumshinda Sugu hata akifanya kampeni bila mavazi, hili lichukueni na mlizoee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo liko wazi, hata 2020 hakushinda lakini ndiye mbunge. Lazima CCM watumie hekima sana kuondoa vurugu zisizo na tija.Labda mfufueni Magufuli, Lakini Tulia hawezi kumshinda Sugu hata akifanya kampeni bila mavazi, hili lichukueni na mlizoee
2025 yaweza kuwa mwisho wa nchi hii kama ujinga ule utarudiwaHilo liko wazi, hata 2020 hakushinda lakini ndiye mbunge. Lazima CCM watumie hekima sana kuondoa vurugu zisizo na tija.
Wapi nimesema nampenda Tulia? Kutoa maoni yangu nimekuwa mpambe?Wakati anachaguliwa Mbunge ni Balozi gani alikuwepo? Halafu kuna kitu wengi hamjui kuhusu Mbeya, Huyu Tulia hiyo 2020 pamoja na kugawa rushwa mbeya nzima lakini aliangushwa kwenye ubunge bila huruma yoyote, ni vile meza ilipinduliwa nchi nzima mbele ya mtutu wa bunduki
Kingine ni hiki, mpaka leo hii Tulia hana anachoweza kuonyesha kwamba amekifanya kwa Wana Mbeya, ama kama kipo wewe hapo mpambe wake tuonyeshe, Jiji la Mbeya linaongoza kwa kuchepusha mapato ya halmashauri, umewahi kusikia Tulia akilisemea hili?
KAMA UNAMPENDA MTU KUTOKANA NA SURA YAKE NENDA KANYWE NAYE CHAI - JK NYERERE
Binafs yangu siyo Muccm! Ila kwenye hili tuacheni masikhala bhana!
Sifa moja wapo ya kuwa Rais wa mabunge Duniani IPU, ni lazima uwe mbunge pia katika nchi utokayo
Swali langu ni dogo tu hapa, Dr.Tulia asipoutetea ubunge wake pale Mbeya mjini, anakuwa amekosa sifa za kuendelea kuwa Rais wa mabunge Duniani
Inafahamika kabisa kwamba, Wanambeya wanaweza wasimpe kura za kutosha Dr.Akson Tulia, Je, hata sisi Watanzania tukubali kukosa hii heshima mojawapo katika nchi yetu ya Dr. Tulia kuwa kiongozi mkubwa anayetambulika Duniani kwa kushindwa kumwambia Sugu asigombee au kumwibia kura zake mra tu itakapoonekana kashinda
Embu fikiri..! Nafasi hiyo hiyo ingelikuwa iko kwa Sugu, ni kweli wanachadema na Watanzania wangependa Sugu atoke kwenye nafasi hiyo na kupoteza sifa ya kuwa Rais wa IPU?
Mh Sugu, tafadhari tafuta jimbo lingine mapemaa!
Kitendo cha kutompa kura huyo Tulia ni kuonyesha dunia kuwa iache kwenda kichwakichwa kwa kuchagua watu wasiostahili kuwa viongozi. Hiyo sifa unayosema tunapata kama nchi, haina maana yoyote maana ni cheo ceremonial zaidi.Binafs yangu siyo Muccm! Ila kwenye hili tuacheni masikhala bhana!
Sifa moja wapo ya kuwa Rais wa mabunge Duniani IPU, ni lazima uwe mbunge pia katika nchi utokayo
Swali langu ni dogo tu hapa, Dr.Tulia asipoutetea ubunge wake pale Mbeya mjini, anakuwa amekosa sifa za kuendelea kuwa Rais wa mabunge Duniani
Inafahamika kabisa kwamba, Wanambeya wanaweza wasimpe kura za kutosha Dr.Akson Tulia, Je, hata sisi Watanzania tukubali kukosa hii heshima mojawapo katika nchi yetu ya Dr. Tulia kuwa kiongozi mkubwa anayetambulika Duniani kwa kushindwa kumwambia Sugu asigombee au kumwibia kura zake mra tu itakapoonekana kashinda
Embu fikiri..! Nafasi hiyo hiyo ingelikuwa iko kwa Sugu, ni kweli wanachadema na Watanzania wangependa Sugu atoke kwenye nafasi hiyo na kupoteza sifa ya kuwa Rais wa IPU?
Mh Sugu, tafadhari tafuta jimbo lingine mapemaa!
Sasa kiherehere cha kushobokea usiyoyajua umekitoa wapi? Usirudie tena!Wapi nimesema nampenda Tulia? Kutoa maoni yangu nimekuwa mpambe?
Unadhani mimi ni kama wewe chawa wa Mbowe? Mimi ni mtu huru, sifungamani na yeyote wala chama chochote cha kisiasa.
Bado kwenu viroba vinapatikana?Binafs yangu siyo Muccm! Ila kwenye hili tuacheni masikhala bhana!
Sifa moja wapo ya kuwa Rais wa mabunge Duniani IPU, ni lazima uwe mbunge pia katika nchi utokayo
Swali langu ni dogo tu hapa, Dr.Tulia asipoutetea ubunge wake pale Mbeya mjini, anakuwa amekosa sifa za kuendelea kuwa Rais wa mabunge Duniani
Inafahamika kabisa kwamba, Wanambeya wanaweza wasimpe kura za kutosha Dr.Akson Tulia, Je, hata sisi Watanzania tukubali kukosa hii heshima mojawapo katika nchi yetu ya Dr. Tulia kuwa kiongozi mkubwa anayetambulika Duniani kwa kushindwa kumwambia Sugu asigombee au kumwibia kura zake mra tu itakapoonekana kashinda
Embu fikiri..! Nafasi hiyo hiyo ingelikuwa iko kwa Sugu, ni kweli wanachadema na Watanzania wangependa Sugu atoke kwenye nafasi hiyo na kupoteza sifa ya kuwa Rais wa IPU?
Mh Sugu, tafadhari tafuta jimbo lingine mapemaa!
Hayo mabunge ya kutetea ushoga duniani hayatuhusu.Binafs yangu siyo Muccm! Ila kwenye hili tuacheni masikhala bhana!
Sifa moja wapo ya kuwa Rais wa mabunge Duniani IPU, ni lazima uwe mbunge pia katika nchi utokayo
Swali langu ni dogo tu hapa, Dr.Tulia asipoutetea ubunge wake pale Mbeya mjini, anakuwa amekosa sifa za kuendelea kuwa Rais wa mabunge Duniani
Inafahamika kabisa kwamba, Wanambeya wanaweza wasimpe kura za kutosha Dr.Akson Tulia, Je, hata sisi Watanzania tukubali kukosa hii heshima mojawapo katika nchi yetu ya Dr. Tulia kuwa kiongozi mkubwa anayetambulika Duniani kwa kushindwa kumwambia Sugu asigombee au kumwibia kura zake mra tu itakapoonekana kashinda
Embu fikiri..! Nafasi hiyo hiyo ingelikuwa iko kwa Sugu, ni kweli wanachadema na Watanzania wangependa Sugu atoke kwenye nafasi hiyo na kupoteza sifa ya kuwa Rais wa IPU?
Mh Sugu, tafadhari tafuta jimbo lingine mapemaa!
Wewe ndio uache kiherehere cha kushobokea posts za watu, hakuna nilikokuita na wala thread hujaanzisha wewe kilichokutuma uniquote kitulize.Sasa kiherehere cha kushobokea usiyoyajua umekitoa wapi? Usirudie tena!
UsinipangieWewe ndio uache kiherehere cha kushobokea posts za watu, hakuna nilikokuita na wala thread hujaanzisha wewe kilichokutuma uniquote kitulize.
Mashetani wanajali ufahari na madaraka bila kujali haki za wengine.Kwa hiyo unahalalisha Wizi wa kura .... Watui wengine akili zenu mnazijua wenyewe.
Meni Viti Maalumu ...!!
Ninamaanisha ile pombe ya kiroba maana zilipigwa marufuku enzi za JPM lakini wewe bado unatumia au mnatumia hii toka Malawi?Siku hizi sembe huko kwenu badala ya kuwekwa kwenye kiroba wanaweka wapi siku hizi chief
Mimi nakunywa togwa tu mkuu wangu, si unajuwa sisi makuhani wa mizimu hatutumii aina yoyote ya kileviMpaka umepiga na picha, bila shaka wewe ni mpenzi wa hizi ndude