Uchaguzi 2020 Sugu: Hata bila ya Tume Huru ya Uchaguzi, CHADEMA inashinda Ubunge Mbeya Mjini

Uchaguzi 2020 Sugu: Hata bila ya Tume Huru ya Uchaguzi, CHADEMA inashinda Ubunge Mbeya Mjini

Sugu sasa akamsugue Magufuli. Ila CCM wameleta kura fake. Niliposikia tu wanasema wataruhusu passport na Nida. Basi nikajua kuna kura zishapigwa. Ikute hata marehemu wamepiga kura. Walio nchi za nje wamepiga kura.
 
Unapingana na angalizo la Sugu!
 
Bila tume huru ya uchaguzi, CCM kitabaki chama pekee kikongwe madarakani barani Africa.
 
Kwa uchaguzi upi uliokukurupua vichakani ? Hiki mlichokifanya ni hatari mno !
😂😂😂😂😂😃😃😃😃😂😃😃😃😃😂😁😁😁😃😂😃😂😂 mkuu pole sana, but jipange 2025 huenda bahati ikawa yenu wana magwanda,any way ccm wamejichanganya sana, why?? Niulize swali hili baada ya miaka miwili ijayoo!!
 
Hivi nyinyi mnaosema wameiba kura kwa kuleta watu, wakala anawezaje ku sign karatasi ambayo walioandikishwa ni wachache kuliko lura zilizo pigwa? Msiendelee kujiumiza mioyo
 
Haya hayaa sasa! Huyo sugu ndio ajifunze sasa. Tulionya sana humu kwenye mitandao! Walikuwa wabunge na viongozi wangeweza kabisa kupambana na kushawishi raia waingie mtaani kudai katiba mpya na tume huru lakini walikuwa wanawaza hivi! Ubinafsi ! Kwamba utashinda tu! Sasa kiko wapi?

Eti baadae wakawa wanataka maridhiano na ndege wakapanda kwenda kuomba maridhiano huko Mwanza! Maridhiano gani pimbi nyie!
Mmeona sasa yaani!
 
Back
Top Bottom