Sugu jaribu kuwa mtu mzima

Sugu jaribu kuwa mtu mzima

Sijui kwanini mnapenda sana kuingilia uhuru wa wengine, huu ushamba wenu sijui mnautoa wapi, kama Sugu anawakera msipoteze muda wenu kumtazama, wacha mtu atumie pesa zake, na msimfundishe matumizi kama hamkumfundisha kuzitafuta.
 
Maajabu ya kibongo duh, sijui nani anaweka standards za watu kuishi? Aibu kwa viwango vya nani? Hata kama angekaa uchi we unakereka nini? Kuna sheria kavunja? Nchi inaendeshwa kwa sheria sio hisia za mtu yeyote! Ukiaona aibu we fanya vyako tofauti, waachie watu maisha yao! hamna maisha mengine tena wapunguze makasiriko
 
Back
Top Bottom