Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa umri wako wa miaka 50 ni aibu sana kufanya mambo yanayotakiwa kufanywa na wajukuu zako.
Kwanamna moja au nyingine nawe hapa umewapangia watu cha kufanya.Sijui kwanini mnapenda sana kuingilia uhuru wa wengine, huu ushamba wenu sijui mnautoa wapi, kama Sugu anawakera msipoteze muda wenu kumtazama, wacha mtu atumie pesa zake, na msimfundishe matumizi kama hamkumfundisha kuzitafuta.
Kwa umri wako wa miaka 50 ni aibu sana kufanya mambo yanayotakiwa kufanywa na wajukuu zako.
Kwa umri wako wa miaka 50 ni aibu sana kufanya mambo yanayotakiwa kufanywa na wajukuu zako.
Kwa umri wako wa miaka 50 ni aibu sana kufanya mambo yanayotakiwa kufanywa na wajukuu zako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee acha tyuuh.Ukweli
Na wewe leta picha ya mke yako tuione sura na body yake 🖕Hii mke wake ina sura na body mbaya halafu ni mama wa watoto wawili. Sijui anajivunia nini na huu ujinga..
Ndiyo ujinga wa huyu mzee unaanzia hapo. Mke mama wa wawili amekaa kama ng’ombe wana behave kama teens wote wawili sababu wamelewa.Na wewe leta picha ya mke yako tuione sura na body yake 🖕
Haya mambo wangefanya kwa faragha na starehe zao nyumbani siyo kuanika upuuzi wao kwa dunia nzima ilhali hawa ni wazee wote wawili na ni public figures angalau huyo mzee mhuniNa wewe leta picha ya mke yako tuione sura na body yake 🖕
Dada Ake Faiza Ally huyo ndo maanaKioo cha jamii sio kuwa mtumwa wa mawazo ya wengine, sema kama kuna sheria amevunja hapo tukamshtaki.