Sugu jaribu kuwa mtu mzima

Sijui kwanini mnapenda sana kuingilia uhuru wa wengine, huu ushamba wenu sijui mnautoa wapi, kama Sugu anawakera msipoteze muda wenu kumtazama, wacha mtu atumie pesa zake, na msimfundishe matumizi kama hamkumfundisha kuzitafuta.
Kwanamna moja au nyingine nawe hapa umewapangia watu cha kufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…