Sugu kataja ubilionea wake! Wengine igeni mfano!

Sugu hajaonyesha njia mtu yoyote yeye ndio alikuwa anaonyeshwa njia akati anakuja mjini, wakati wake wa kuimba ulishapita hana jipya tena aendelee kuvizia kurudi bungeni.
Pole sana unaonekana una wivu balaa
 
Kuwa bilionea as forbes..sio rahisii...so ana 2.2 Trillion Shillings...acheni, basi hizo ni Standard tushapangiwa.
 

Basi nikajuaga mm ndio kilaza, kumbe tupo wengi jamnii...kwa kupost hivyo,jamaa ni zero brain,..matajiri hawanaga mapost ya kiwakiii

Badi am genious..am i?
 
Sugu moto chini.....hela bila investments haina nguvu....wekeza tu ndio utaheshimika bila kujitangaza
 
Ay ana pesa zile alizokiwadai tigo?
 
Amesema;

"Msanii wa kwanza kua milionea"

Wakati Sugu ana anza kuimba huyo Diamond alikua ni kitoto kidogo tu kama alikua kisha zaliwa,

Muwe mnajifunza kuelewa jambo kabla ya kuchangia.
Oya mwanangu,vipi ipilili mvua imeshaanza!?
 
Huenda utajiri wa sugu ni sawa na gari zote za mond
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…