Sugu kataja ubilionea wake! Wengine igeni mfano!

Sugu kibongobongo anapesa ndefu Kwa sasa,Kwanza Jamaa ni fighter alafu ni Hustler kweli kweli anafanya misheni na michongo mingi sana.
Achana na biashara ya hotel desderia,muziki na siasa huko kwenye siasa ana fight for his vision about the nation.Hiyo ni haki ya kikatiba kila mmoja wetu anayo.
Sugu ana exposure kubwa sana kuliko unavyomdhania au unavyomwangalia.
Sugu ukiachana na biashara unazomuona anafanya,pia ni Investor,sio forex trader ni Investor,Jamaa anafanya investing kwenye stocks kubwa kubwa za huko wall street.
Mfano wake wa stocks kama apple,Tesla,Amazon,etc.Hizo uwekezaji wake ni tofauti kidogo na forex,Kwa sababu forex Kwa mtazamo wa haraka haraka inaonekana kama gambling tu hasa kwa wenye low IQ, though na yenyewe Ina watabe wake wanao make millions of dollars.So Sugu ni stocks investor,jua hilo na mwenzake Mh Lema Tena Lema yeye ana trade mpaka cryptocurrencies.
Na exposure kama hio anaipata sana marekani kwani mpaka Leo Jamaa anaingia marekani kama anaingia hotelini kwake tu.Juzijuzi kaonekana ametembelewa na Ambassador wa USA Tanzania Hotelini kwake na wanapiga story kama Wana tu.
So sishangai Jamaa kuwa na over 20 million dollars,hiyo kibongobongo ni Billionaire aisee.

Mwenye challenge aseme hapa.
 
Naona tunajifunza kwa kasi kutoka #Kenya[emoji1254][emoji1241]

#BURUDANI Mkongwe wa mziki wa HipHop Bongo Mr II Sugu @therealjongwe ametamba kuwa msanii kwanza Bongo kuwa Milionea na sasa ni Bilonea.

Sugu ameshea ujumbe huu kwenye Twitter ukieleza "Msanii wa kwanza Bongo kuwa Milionea na sasa ni Bilionea. Believe That".

#EastAfricaTV

Nimi maoni yako?
Alfu Bado kuna mijitu inaenda kukupigia kura na kukuhakikshia unakuwa mmbuge wao dah bladfulll ,sipigi kura kumtafutia mtu hela Kish Kuja nitambishiaa never on the earth labda ndugu wa damu tu ndio nitawapigia
 
Sugu hela inampeleka puta sana, kwa ukongwe wake hakupaswa ku behave namna hio. Mwana FA ana mzigo, AY nae ana mzigo pia.
Lady Jaydee nae zipo zipo sio haba. Wako kimya sana kuhusu hela zao.

Dogo Platinumz ndio funga kazi yani. Nafikiri hata Sugu hajamkuta bado.
Wee ndio umeona ukweli mtupu
 
Sugu kibongobongo anapesa ndefu Kwa sasa,Kwanza Jamaa ni fighter alafu ni Hustler kweli kweli anafanya misheni na michongo mingi sana.
Achana na biashara ya hotel desderia,muziki na siasa huko kwenye siasa ana fight for his vision about the nation.Hiyo ni haki ya kikatiba kila mmoja wetu anayo.
Sugu ana exposure kubwa sana kuliko unavyomdhania au unavyomwangalia.
Sugu ukiachana na biashara unazomuona anafanya,pia ni Investor,sio forex trader ni Investor,Jamaa anafanya investing kwenye stocks kubwa kubwa za huko wall street.
Mfano wake wa stocks kama apple,Tesla,Amazon,etc.Hizo uwekezaji wake ni tofauti kidogo na forex,Kwa sababu forex Kwa mtazamo wa haraka haraka inaonekana kama gambling tu hasa kwa wenye low IQ, though na yenyewe Ina watabe wake wanao make millions of dollars.So Sugu ni stocks investor,jua hilo na mwenzake Mh Lema Tena Lema yeye ana trade mpaka cryptocurrencies.
Na exposure kama hio anaipata sana marekani kwani mpaka Leo Jamaa anaingia marekani kama anaingia hotelini kwake tu.Juzijuzi kaonekana ametembelewa na Ambassador wa USA Tanzania Hotelini kwake na wanapiga story kama Wana tu.
So sishangai Jamaa kuwa na over 20 million dollars,hiyo kibongobongo ni Billionaire aisee.

Mwenye challenge aseme hapa.
Unazijua USD 20M au unalopoka tu hapa.

Bongo ukikaa vibaya lazima upangwe.
 
Unazijua USD 20M au unalopoka tu hapa.

Bongo ukikaa vibaya lazima upangwe.
Nawajua watu wenye nazo,sema wewe umekwama sana uswahilini huna unalojua kaa hivyo hivyo.
Masanja Mkandamizaji tu ana miliki Mali za zaidi ya dola 5 million.
Narudia tena,Masanjamkandamizaji ana miliki Mali za zaidi ya dola 5 million.
Wewe kaa tu hapo uswahilini,kalaghabaho.
 
ukitaka kujua mali za tajiri muulize masikini
 
Sugu hela inampeleka puta sana, kwa ukongwe wake hakupaswa ku behave namna hio. Mwana FA ana mzigo, AY nae ana mzigo pia.
Lady Jaydee nae zipo zipo sio haba. Wako kimya sana kuhusu hela zao.

Dogo Platinumz ndio funga kazi yani. Nafikiri hata Sugu hajamkuta bado.
Itakuwa kaweka hiyo tweet kumringishia Ex wake (Faiza)
 
Amekuwa mpambanaji halafu mzuriiiiiii, ameacha mambo yake ya kijinga naona akili yake imeanza kuwa sawa.
Ila Sugu ana kaushamba flani hivi..
Faiza alisema jamaa ni mporipori flani hivi,
Ila ni fighter toka kuwa mlinzi pale BP mpaka kufika alipo ni jitihada zake
 
Sasa kwanini unapinga ninaposema bilionea hawezi kukaa bungeni asubiri M12 kwa mwenzi ....

Huoni Rostam nae alipiga chini ubunge?
Kwahiyo inamaana unataka kuniambia mo dewj au rostam walifuata zile milion 12 bungeni?
 
Sugu kibongobongo anapesa ndefu Kwa sasa,Kwanza Jamaa ni fighter alafu ni Hustler kweli kweli anafanya misheni na michongo mingi sana.
Achana na biashara ya hotel desderia,muziki na siasa huko kwenye siasa ana fight for his vision about the nation.Hiyo ni haki ya kikatiba kila mmoja wetu anayo.
Sugu ana exposure kubwa sana kuliko unavyomdhania au unavyomwangalia.
Sugu ukiachana na biashara unazomuona anafanya,pia ni Investor,sio forex trader ni Investor,Jamaa anafanya investing kwenye stocks kubwa kubwa za huko wall street.
Mfano wake wa stocks kama apple,Tesla,Amazon,etc.Hizo uwekezaji wake ni tofauti kidogo na forex,Kwa sababu forex Kwa mtazamo wa haraka haraka inaonekana kama gambling tu hasa kwa wenye low IQ, though na yenyewe Ina watabe wake wanao make millions of dollars.So Sugu ni stocks investor,jua hilo na mwenzake Mh Lema Tena Lema yeye ana trade mpaka cryptocurrencies.
Na exposure kama hio anaipata sana marekani kwani mpaka Leo Jamaa anaingia marekani kama anaingia hotelini kwake tu.Juzijuzi kaonekana ametembelewa na Ambassador wa USA Tanzania Hotelini kwake na wanapiga story kama Wana tu.
So sishangai Jamaa kuwa na over 20 million dollars,hiyo kibongobongo ni Billionaire aisee.

Mwenye challenge aseme hapa.
Wewe Mr Wright ni ambassador wa US or UK nchini tanzania?

Mbona unachanganya mafile[emoji848][emoji848]
 
Wewe Mr Bright ni ambassador wa US or UK nchini tanzania?

Mbona unachanganya mafile[emoji848][emoji848]
Ndio huyo aliomaliza muda wake bila shakaView attachment 2406139
Screenshot_20221103-215539.jpg
 
Naona tunajifunza kwa kasi kutoka #Kenya[emoji1254][emoji1241]

#BURUDANI Mkongwe wa mziki wa HipHop Bongo Mr II Sugu @therealjongwe ametamba kuwa msanii kwanza Bongo kuwa Milionea na sasa ni Bilonea.

Sugu ameshea ujumbe huu kwenye Twitter ukieleza "Msanii wa kwanza Bongo kuwa Milionea na sasa ni Bilionea. Believe That".

#EastAfricaTV

Nimi maoni yako?
Naona unamchokonoa Mbowe.
 
Back
Top Bottom