fitonenendefu
JF-Expert Member
- Jul 27, 2022
- 428
- 881
Sugu kibongobongo anapesa ndefu Kwa sasa,Kwanza Jamaa ni fighter alafu ni Hustler kweli kweli anafanya misheni na michongo mingi sana.
Achana na biashara ya hotel desderia,muziki na siasa huko kwenye siasa ana fight for his vision about the nation.Hiyo ni haki ya kikatiba kila mmoja wetu anayo.
Sugu ana exposure kubwa sana kuliko unavyomdhania au unavyomwangalia.
Sugu ukiachana na biashara unazomuona anafanya,pia ni Investor,sio forex trader ni Investor,Jamaa anafanya investing kwenye stocks kubwa kubwa za huko wall street.
Mfano wake wa stocks kama apple,Tesla,Amazon,etc.Hizo uwekezaji wake ni tofauti kidogo na forex,Kwa sababu forex Kwa mtazamo wa haraka haraka inaonekana kama gambling tu hasa kwa wenye low IQ, though na yenyewe Ina watabe wake wanao make millions of dollars.So Sugu ni stocks investor,jua hilo na mwenzake Mh Lema Tena Lema yeye ana trade mpaka cryptocurrencies.
Na exposure kama hio anaipata sana marekani kwani mpaka Leo Jamaa anaingia marekani kama anaingia hotelini kwake tu.Juzijuzi kaonekana ametembelewa na Ambassador wa USA Tanzania Hotelini kwake na wanapiga story kama Wana tu.
So sishangai Jamaa kuwa na over 20 million dollars,hiyo kibongobongo ni Billionaire aisee.
Mwenye challenge aseme hapa.