Sugu na Jide ni wasanii wasioguswa, ukiwagusa umepotea kimoja, pitia hapa ushuhudie


ana macho lakini haoni
ana masikio lakini hasikii
 
Mkubwa Rutta kumbuka Jide na Sugu wana-fans wengi sana kwahiyo kuna baadhi wa fans wa jide/sugu pia ni wapenzi wa chid so chid akileta beef na hao wakongwe lazima ataloose some of his fans hio ndio mantiki ya mtoa uzi.

Pia sio fans pekee, ata wadau wa industry nzima ya muziki nao huwa ni mashabiki wa wasanii fulani haswa awa wakubwa. Mfano mtu kama Jide ni kama kila anaependa muziki nchi hii lazima atapenda muziki wake au atakuwa shabiki wake. So, unapomchokoza ata wale supporters wako wa kupush projects zako kwenye industry ambao wengi walifanya kwa mapenzi mema unawapoteza. Na mwanzo wa kupotea unaanzia hapo.
 

Umaharufu - umaarufu
 
Binafsi namkubali sana Jide ndie malkia wa mziki wa bongo flava
 

soul artist - solo artist
 
soul artist - solo artist

Kwangu unapata shida bure mimi nilidhani wewe mwenzetu huwa haukosei kwenye kuandika kumbe hata kiswahili shida. Mkiitwa kwenye interview za kingereza jasho linawatoka hasa consular section.
 
Kwangu unapata shida bure mimi nilidhani wewe mwenzetu huwa haukosei kwenye kuandika kumbe hata kiswahili shida. Mkiitwa kwenye interview za kingereza jasho linawatoka hasa consular section.

Hasa - haswa
 
Ila Jide ana miaka mingapi maana kuna siku nikicheki diary yake...uso umekomaa sana yani pamoja na ma make up lakini wapi..
Sema wanaficha umri wao ila sura zinawaumbua sana.
Emenem kazaliwa 1972 ila nahisi Jide ni mkubwa kushinda Eminem

Hahahah
 

Huyu hajielewi... Mbona Joh Makini katoa nyimbo ya I See Me na bado inakimbiza sokoni? Mbona anapewa shavu hadi Coke studio af unakurupuka eti anasafiria nyota ya weusi.... Ntarudi baadae na mimi kumalizia kusoma
 
Hapo kwa Joh Makini umekosea refer wimbo wa MANUVA alisema "Harakati Magirini Sikumdiss Mr II"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…