Sugu na Jide ni wasanii wasioguswa, ukiwagusa umepotea kimoja, pitia hapa ushuhudie

Sugu na Jide ni wasanii wasioguswa, ukiwagusa umepotea kimoja, pitia hapa ushuhudie

Mambo ya kijamii hayaitaji facts yapo tu mtaani, lakini yanatokea kweli . Ni kama utake facts za kwamba ukimtukana mzazi wako utapata laana kwenye maisha yako.

Mwana FA wa kabla ya ugomvi na awa wawili, ana tofauti kubwa sana na FA baada ya ugomvi. Ili haliitaji ubishi kuwa sasa FA anasurvive kwa huruma ya wadau wachache wanaomlipa fadhila kwa kuwasaidia beef zao, ila ile influence ya mwanzo hana .

ana macho lakini haoni
ana masikio lakini hasikii
 
Mkubwa Rutta kumbuka Jide na Sugu wana-fans wengi sana kwahiyo kuna baadhi wa fans wa jide/sugu pia ni wapenzi wa chid so chid akileta beef na hao wakongwe lazima ataloose some of his fans hio ndio mantiki ya mtoa uzi.

Pia sio fans pekee, ata wadau wa industry nzima ya muziki nao huwa ni mashabiki wa wasanii fulani haswa awa wakubwa. Mfano mtu kama Jide ni kama kila anaependa muziki nchi hii lazima atapenda muziki wake au atakuwa shabiki wake. So, unapomchokoza ata wale supporters wako wa kupush projects zako kwenye industry ambao wengi walifanya kwa mapenzi mema unawapoteza. Na mwanzo wa kupotea unaanzia hapo.
 
Hapana, Jide na Sugu walikuwa maharufu kabla ya ugomvi wowote tena miaka mingi iliyopita. So unaposema ugomvi ndio unawapa umaharufu hauwatendei haki ata kama hauwapendi.

Uyo Chidi nilisikia alikuwa anamtongoza Jide kwa sms akaonywa hakusikia. Ila una maswali na wewe kama polisi !! alafu yote yana majibu yaliyowazi.

Umaharufu - umaarufu
 
Binafsi namkubali sana Jide ndie malkia wa mziki wa bongo flava
 
Kama hujui kitu ni bora uulize uelekezwe na siyo uje na story za kuhadithiwa vijiweni.

Narudia tena mashindano yalifanyika Avalon na washindi walikuwa ni kina Terry Fanani na Willy wa Hard blasters, GWM na LWP.

Mr 2 alikuwa yupo vizuri ila hakuweza kushiriki kwa sababu alikuwa soul artist na utaratibu yalikuwa yanahitajika makundi ila alipewa shavu atowe show na Single yake ya kwanza siku yangu.

Saleh Eljabir hakuwa na sifa kwenye mashindano yale kwa sababu watu wanaoimba copy walikuwa hawatakiwi.

Hebu tutajie hata nyimbo moja ya Saleh ili tumalize ubishi. Na kwa taarifa yako miaka ya 90's kila jumapili mimi nilikuwa mpenzi wa pool side Kilimanjaro hotel. Je unaijuwa Seven Floor wewe? Sasa leo Kilimanjaro hotel kuna level eight, miaka ishirini baadaye watu wa kukariri watasema Fiesta ya Mwaka huu ilifanyika Kilimanjaro hotel na Mr Nice alifunika.

soul artist - solo artist
 
soul artist - solo artist

Kwangu unapata shida bure mimi nilidhani wewe mwenzetu huwa haukosei kwenye kuandika kumbe hata kiswahili shida. Mkiitwa kwenye interview za kingereza jasho linawatoka hasa consular section.
 
Kwangu unapata shida bure mimi nilidhani wewe mwenzetu huwa haukosei kwenye kuandika kumbe hata kiswahili shida. Mkiitwa kwenye interview za kingereza jasho linawatoka hasa consular section.

Hasa - haswa
 
Ila Jide ana miaka mingapi maana kuna siku nikicheki diary yake...uso umekomaa sana yani pamoja na ma make up lakini wapi..
Sema wanaficha umri wao ila sura zinawaumbua sana.
Emenem kazaliwa 1972 ila nahisi Jide ni mkubwa kushinda Eminem

Hahahah
 
Kwa hiyo jide ndio alosababisha chidi benzi kuwa teja????

Mrisho mpoto nae ni msanii au mganga njaa tu????

Kwa lugha nyungine FA ni kambi ya clouds..... hivyo kwa namna moja au nyingine amejikuta kubeba chuki za clouds toka kwa wananchi???

Kwwli bongo kuna wasanii wengi...roma ben pol loh...

Nitamalizia kuisoma baadae... nitarudi

Huyu hajielewi... Mbona Joh Makini katoa nyimbo ya I See Me na bado inakimbiza sokoni? Mbona anapewa shavu hadi Coke studio af unakurupuka eti anasafiria nyota ya weusi.... Ntarudi baadae na mimi kumalizia kusoma
 
Hapo kwa Joh Makini umekosea refer wimbo wa MANUVA alisema "Harakati Magirini Sikumdiss Mr II"
 
Back
Top Bottom