Sugu nafasi yako ya kuchukua jimbo la Mbeya ni hii

Yesu Anakuja

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2019
Posts
12,675
Reaction score
25,924
Nipo Mbeya kwa wiki tatu sasa, mjadala kwenye daladala na masokoni ni DP WORLD, nothing more. Watu hawamwelewi mbunge wao.

Sugu kama unataka kushinda jimbo lako, nafasi yako ndio hii, siwezi kukufundisha cha kufanya ila weka mikutano uwashitakie wananchi kwasababu wanahitaji kusikia toka kwa mtu anayeongea mambo ya maana akama haya. ni ushauri tu.
 
Sugu ni wale wale kina profesa Mukuma.
Wasiojua kusoma na kuandika!
 
Jimbo la Mbeya lilikuwa jimbo makini wakati wa Sugu,leo jimbo la Mbeya mjini limetoa spika asiyejielewa kabisa katika historia ya Bunge la Tanzania.
 
Hv mbunge ambaye hana Akili unawezaje kumuelewa.
 
Ameshaahidiwa mkate huyo, hawezi kuongea. Hata msigwa hauwezi kumsikia 🤣🤣🤣.

CDM ni Lissu na Mnyika tu, labda wafanye kuwasamehe wale akina dada 18 kisha waanze upya.
 
Focus
Discipline
Consistency
Mobilization
 
Ameshaahidiwa mkate huyo, hawezi kuongea. Hata msigwa hauwezi kumsikia [emoji1787][emoji1787][emoji1787].

CDM ni Lissu na Mnyika tu, labda wafanye kuwasamehe wale akina dada 18 kisha waanze upya.
Acha uongo wewe
 
UUUU
Jimbo la Mbeya lilikuwa jimbo makini wakati wa Sugu,leo jimbo la Mbeya mjini limetoa spika asiyejielewa kabisa katika historia ya Bunge la Tanzania.
Jimbo la Mbeya kwasasa limepata mbunge mwenye hadhi ya jiji,sugu aliokota dodo chini ya mpera, bahati haiji mara mbili,aendeleze alichokichuma kwa miaka 10 ya bahati.Akirogwa kugombea hata kale gesti kake katapotea kabisa.Mbeya inabadilika kwa kasi ya ajabu kwasasa.
 
hii ilikuwa nafasi nzuri kumshitaki mpinzani wake kwa wananchi kile anachokifanya kwasababu kila mtu anaona. mtelezo tu.
 
Kwa jinsi yule dada alivyowadhalilisha wabunge waliokuwa wakipinga mkataba wa DP Hadi uboreshwe; Sugu Hana mpinzani MBY
 
lile jimbo bora apewe hata sugu kuliko spika wa dp world
 
Chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…