Sugu nafasi yako ya kuchukua jimbo la Mbeya ni hii

Sugu nafasi yako ya kuchukua jimbo la Mbeya ni hii

Nipo Mbeya kwa wiki tatu sasa, mjadala kwenye daladala na masokoni ni DP WORLD, nothing more. Watu hawamwelewi mbunge wao.

Sugu kama unataka kushinda jimbo lako, nafasi yako ndio hii, siwezi kukufundisha cha kufanya ila weka mikutano uwashitakie wananchi kwasababu wanahitaji kusikia toka kwa mtu anayeongea mambo ya maana akama haya. ni ushauri tu.
Hoja nyingine, Tulia ameishusha Mbeya city daraja
 
Back
Top Bottom