Suguye na miujiza ya kugusa vazi lake Jumapili hii

Pascal_TZA

Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
35
Reaction score
102
Mtumishi wa Mungu @prophet_nicolaus_suguye Anakukaribisha kwenye Ibada kubwa ya KUSHIKA VAZI LA KINABII Itakayofanyika siku ya Jumapili 23/3/2025 katika kanisa la The Word of Reconciliation Ministries (WRM) lililopo Ukonga - Kivule, Matembele ya pili jijini Dar es salaam.

Ibada ya kwanza itaanza saa 12:00 asubuhi hadi saa 6:00 mchana na Ibada ya pili itaanza saa 8:00 mchana na kuenelea, Walete Watu wenye Magonjwa na Changamoto mbalimbali Mungu atawaponya.

Jinsi ya Kufika Kanisani WRM, Panda magari yanayokwenda Gongo la mboto kisha shuka Banana, Alafu panda magari yanayokwenda Kivule au F/KUMI kisha shuka kituo kinaitwa Matembele ya pili utakuwa umefika Kanisani WRM, Njoo wewe na Watu wote wa Nyumbani mwako, Hakuna kiingilio ni bure kabisa.

Nimelia sana baada ya kuona ID ya zamani inapost upuuzi....
Mitaani wagonjwa wa afya ya akili ni wengi sana, including mtoa mada na nabii wake wa mchongo.
Nonsense
😅😅😅 Ngoja waje waumini wakee wakukemee km pepoo
 
#SITAPELIKI: Linda taarifa zako kwa kuepuka kubofya viunganishi (links) usivyovifahamu. Ukipata changamoto piga namba 100 ili uhudumiwe.
 
Mtumishi wa Mungu @prophet_nicolaus_suguye Anakukaribisha kwenye Ibada kubwa ya KUSHIKA VAZI LA KINABII Itakayofanyika siku ya Jumapili 23/3/2025 katika kanisa la The Word of Reconciliation Ministries (WRM) lililopo Ukonga - Kivule, Matembele ya pili jijini Dar es salaam.

Ibada ya kwanza itaanza saa 12:00 asubuhi hadi saa 6:00 mchana na Ibada ya pili itaanza saa 8:00 mchana na kuenelea, Walete Watu wenye Magonjwa na Changamoto mbalimbali Mungu atawaponya.

Jinsi ya Kufika Kanisani WRM, Panda magari yanayokwenda Gongo la mboto kisha shuka Banana, Alafu panda magari yanayokwenda Kivule au F/KUMI kisha shuka kituo kinaitwa Matembele ya pili utakuwa umefika Kanisani WRM, Njoo wewe na Watu wote wa Nyumbani mwako, Hakuna kiingilio ni bure kabisa.
Huu ujinga umezidi sasa
 
Manabii watawachezesha akili Wabongo mpk ziwakae sawa

Mara kukanyaga mafuta
Mara kulambishwa na kuuziwa chumvi
Mara kuuziwa mafuta ya upako
Mara kunyweshwa juice ya fruto 😝
Mara kuuziwa kitambaa cha upako
Wengine wanauza maji ya upako

Leo tena kushikishwa vazi la Nabii 😇🤠

Hawa manabii wanakoroga na kucheza na akili za Watanzania kwa ujinga na manufaa yao binafsi

Utapeli huu
 
Na kuna wajinga utashangaa wanakuja kweli kugusa hilo vazi la huyo mwana mazingaombwe wenu! Baada ya hapo anakusanya sadaka, halafu anaendelea zake kuishi maisha ya kifahari kupitia hela za wajinga!

Ningekuwa Rais wa hii nchi, aisee matapeli mngeishi maisha magumu sana. Maana ningelala na nyinyi mbele kwa mbele.
 
Huu ujinga umezidi sasa
Ukitaka jua ni wajasiriamali wanaojiita Manabii wote wamerundikana miji mikubwa tu ambayo ina mzunguko wa Pesa
Dar,Arusha,Mwanza

Hata Mikutano yao ni kuzunguka hio mikoa tu
Wanapiga Mikutano Dar,kisha Arusha wanamalizia Mwanza huwezi wasikia wapo Simiyu,Ruvuma au kilolo huko 🙆

Hawa jamaa ni matapeli,Wapo kipesa zaidi
 
Mtumishi wa Mungu @prophet_nicolaus_suguye Anakukaribisha kwenye Ibada kubwa ya KUSHIKA VAZI LA KINABII Itakayofanyika siku ya Jumapili 23/3/2025 katika kanisa la The Word of Reconciliation Ministries (WRM) lililopo Ukonga - Kivule, Matembele ya pili jijini Dar es salaam.

Ibada ya kwanza itaanza saa 12:00 asubuhi hadi saa 6:00 mchana na Ibada ya pili itaanza saa 8:00 mchana na kuenelea, Walete Watu wenye Magonjwa na Changamoto mbalimbali Mungu atawaponya.

Jinsi ya Kufika Kanisani WRM, Panda magari yanayokwenda Gongo la mboto kisha shuka Banana, Alafu panda magari yanayokwenda Kivule au F/KUMI kisha shuka kituo kinaitwa Matembele ya pili utakuwa umefika Kanisani WRM, Njoo wewe na Watu wote wa Nyumbani mwako, Hakuna kiingilio ni bure kabisa.

Ila mtume Mwamposa ana mke pisi kali Balaa aziz Ki akasome!
 
Suguye aache utoto vazi la kinabii ndio hilo alilovaa? Kuna muda alihitaji kucha na nywele za watu ili apige ramli, awe serious basi na mahubiri yake
 
Manabii watawachezesha akili Wabongo mpk ziwakae sawa

Mara kukanyaga mafuta
Mara kulambishwa na kuuziwa chumvi
Mara kuuziwa mafuta ya upako
Mara kunyweshwa juice ya fruto 😝
Mara kuuziwa kitambaa cha upako
Wengine wanauza maji ya upako

Leo tena kushikishwa vazi la Nabii 😇🤠

Hawa manabii wanakoroga na kucheza na akili za Watanzania kwa ujinga na manufaa yao binafsi

Utapeli huu
Tumewaachia sana hao matapeli
 
Ukitaka jua ni wajasiriamali wanaojiita Manabii wote wamerundikana miji mikubwa tu ambayo ina mzunguko wa Pesa
Dar,Arusha,Mwanza

Hata Mikutano yao ni kuzunguka hio mikoa tu
Wanapiga Mikutano Dar,kisha Arusha wanamalizia Mwanza huwezi wasikia wapo Simiyu,Ruvuma au kilolo huko 🙆

Hawa jamaa ni matapeli,Wapo kipesa zaidi
Na wanapiga zaidi pesa za akina mama

Ishara kwamba akina mama wanapenda mauzauza
 
Back
Top Bottom