Shammy-
JF-Expert Member
- Dec 2, 2022
- 7,174
- 18,884
Halafu iko verified 💔🚮Nimelia sana baada ya kuona ID ya zamani inapost upuuzi....
Mitaani wagonjwa wa afya ya akili ni wengi sana, including mtoa mada na nabii wake wa mchongo.
Nonsense
Halafu iko verified 💔🚮Nimelia sana baada ya kuona ID ya zamani inapost upuuzi....
Mitaani wagonjwa wa afya ya akili ni wengi sana, including mtoa mada na nabii wake wa mchongo.
Nonsense
Tapeli mfawidhiMtumishi wa Mungu @prophet_nicolaus_suguye Anakukaribisha kwenye Ibada kubwa ya KUSHIKA VAZI LA KINABII Itakayofanyika siku ya Jumapili 23/3/2025 katika kanisa la The Word of Reconciliation Ministries (WRM) lililopo Ukonga - Kivule, Matembele ya pili jijini Dar es salaam.
Ibada ya kwanza itaanza saa 12:00 asubuhi hadi saa 6:00 mchana na Ibada ya pili itaanza saa 8:00 mchana na kuenelea, Walete Watu wenye Magonjwa na Changamoto mbalimbali Mungu atawaponya.
Jinsi ya Kufika Kanisani WRM, Panda magari yanayokwenda Gongo la mboto kisha shuka Banana, Alafu panda magari yanayokwenda Kivule au F/KUMI kisha shuka kituo kinaitwa Matembele ya pili utakuwa umefika Kanisani WRM, Njoo wewe na Watu wote wa Nyumbani mwako, Hakuna kiingilio ni bure kabisa.
Wamewashika sana Wamama hawa Matapeli wa ImaniNa wanapiga zaidi pesa za akina mama
Ishara kwamba akina mama wanapenda mauzauza
Mhm sio kwel kuwa mimi ni mdogo kwako😁😄Namtania mdogo wangu huyo!
Mhmm mkuu sijawahi tukana mtu humu bwasheeUnataka matusi ausiyo 🤣
Aminii Ipo Siku Na Hilo Nalo LitakujaNilisoma vibaya asee. Niliona kama kugusa Vu*zi la nabiii