Pascal_TZA
Member
- Mar 25, 2014
- 35
- 102
Namtania mdogo wangu huyo!Unataka matusi ausiyo π€£
π π π Ngoja waje waumini wakee wakukemee km pepooNimelia sana baada ya kuona ID ya zamani inapost upuuzi....
Mitaani wagonjwa wa afya ya akili ni wengi sana, including mtoa mada na nabii wake wa mchongo.
Nonsense
Mtakamata visivyoachikaMtumishi wa Mungu @prophet_nicolaus_suguye Anakukaribisha kwenye Ibada kubwa ya KUSHIKA VAZI LA KINABII
Amefanya vyema nadhani, sisi wengine tusingejua kama kuna kugusa vazi la nabii na kupata kupona.Nimelia sana baada ya kuona ID ya zamani inapost upuuzi....
Mitaani wagonjwa wa afya ya akili ni wengi sana, including mtoa mada na nabii wake wa mchongo.
Nonsense
Huu ujinga umezidi sasaMtumishi wa Mungu @prophet_nicolaus_suguye Anakukaribisha kwenye Ibada kubwa ya KUSHIKA VAZI LA KINABII Itakayofanyika siku ya Jumapili 23/3/2025 katika kanisa la The Word of Reconciliation Ministries (WRM) lililopo Ukonga - Kivule, Matembele ya pili jijini Dar es salaam.
Ibada ya kwanza itaanza saa 12:00 asubuhi hadi saa 6:00 mchana na Ibada ya pili itaanza saa 8:00 mchana na kuenelea, Walete Watu wenye Magonjwa na Changamoto mbalimbali Mungu atawaponya.
Jinsi ya Kufika Kanisani WRM, Panda magari yanayokwenda Gongo la mboto kisha shuka Banana, Alafu panda magari yanayokwenda Kivule au F/KUMI kisha shuka kituo kinaitwa Matembele ya pili utakuwa umefika Kanisani WRM, Njoo wewe na Watu wote wa Nyumbani mwako, Hakuna kiingilio ni bure kabisa.
Manabii watawachezesha akili Wabongo mpk ziwakae sawaMtumishi wa Mungu @prophet_nicolaus_suguye Anakukaribisha kwenye Ibada kubwa ya KUSHIKA VAZI LA KINABII Itakayofanyika siku ya Jumapili 23/3/2025 katika kanisa la The Word of Reconciliation Ministries (WRM) lililopo Ukonga - Kivule, Matembele ya pili jijini Dar es salaam.
Ibada ya kwanza itaanza saa 12:00 asubuhi hadi saa 6:00 mchana na Ibada ya pili itaanza saa 8:00 mchana na kuenelea, Walete Watu wenye Magonjwa na Changamoto mbalimbali Mungu atawaponya.
Jinsi ya Kufika Kanisani WRM, Panda magari yanayokwenda Gongo la mboto kisha shuka Banana, Alafu panda magari yanayokwenda Kivule au F/KUMI kisha shuka kituo kinaitwa Matembele ya pili utakuwa umefika Kanisani WRM, Njoo wewe na Watu wote wa Nyumbani mwako, Hakuna kiingilio ni bure kabisa.
Na kuna wajinga utashangaa wanakuja kweli kugusa hilo vazi la huyo mwana mazingaombwe wenu! Baada ya hapo anakusanya sadaka, halafu anaendelea zake kuishi maisha ya kifahari kupitia hela za wajinga!Mtumishi wa Mungu @prophet_nicolaus_suguye Anakukaribisha kwenye Ibada kubwa ya KUSHIKA VAZI LA KINABII Itakayofanyika siku ya Jumapili 23/3/2025 katika kanisa la The Word of Reconciliation Ministries (WRM) lililopo Ukonga - Kivule, Matembele ya pili jijini Dar es salaam.
Ibada ya kwanza itaanza saa 12:00 asubuhi hadi saa 6:00 mchana na Ibada ya pili itaanza saa 8:00 mchana na kuenelea, Walete Watu wenye Magonjwa na Changamoto mbalimbali Mungu atawaponya.
Jinsi ya Kufika Kanisani WRM, Panda magari yanayokwenda Gongo la mboto kisha shuka Banana, Alafu panda magari yanayokwenda Kivule au F/KUMI kisha shuka kituo kinaitwa Matembele ya pili utakuwa umefika Kanisani WRM, Njoo wewe na Watu wote wa Nyumbani mwako, Hakuna kiingilio ni bure kabisa.
Ukitaka jua ni wajasiriamali wanaojiita Manabii wote wamerundikana miji mikubwa tu ambayo ina mzunguko wa PesaHuu ujinga umezidi sasa
Ila mtume Mwamposa ana mke pisi kali Balaa aziz Ki akasome!Mtumishi wa Mungu @prophet_nicolaus_suguye Anakukaribisha kwenye Ibada kubwa ya KUSHIKA VAZI LA KINABII Itakayofanyika siku ya Jumapili 23/3/2025 katika kanisa la The Word of Reconciliation Ministries (WRM) lililopo Ukonga - Kivule, Matembele ya pili jijini Dar es salaam.
Ibada ya kwanza itaanza saa 12:00 asubuhi hadi saa 6:00 mchana na Ibada ya pili itaanza saa 8:00 mchana na kuenelea, Walete Watu wenye Magonjwa na Changamoto mbalimbali Mungu atawaponya.
Jinsi ya Kufika Kanisani WRM, Panda magari yanayokwenda Gongo la mboto kisha shuka Banana, Alafu panda magari yanayokwenda Kivule au F/KUMI kisha shuka kituo kinaitwa Matembele ya pili utakuwa umefika Kanisani WRM, Njoo wewe na Watu wote wa Nyumbani mwako, Hakuna kiingilio ni bure kabisa.
Suguye aache utoto vazi la kinabii ndio hilo alilovaa? Kuna muda alihitaji kucha na nywele za watu ili apige ramli, awe serious basi na mahubiri yakeMtumishi wa Mungu @prophet_nicolaus_suguye Anakukaribisha kwenye Ibada kubwa ya KUSHIKA VAZI LA KINABII Itakayofanyika siku ya Jumapili 23/3/2025 katika kanisa la The Word of Reconciliation Ministries (WRM) lililopo Ukonga - Kivule, Matembele ya pili jijini Dar es salaam.
Ibada ya kwanza itaanza saa 12:00 asubuhi hadi saa 6:00 mchana na Ibada ya pili itaanza saa 8:00 mchana na kuenelea, Walete Watu wenye Magonjwa na Changamoto mbalimbali Mungu atawaponya.
Jinsi ya Kufika Kanisani WRM, Panda magari yanayokwenda Gongo la mboto kisha shuka Banana, Alafu panda magari yanayokwenda Kivule au F/KUMI kisha shuka kituo kinaitwa Matembele ya pili utakuwa umefika Kanisani WRM, Njoo wewe na Watu wote wa Nyumbani mwako, Hakuna kiingilio ni bure kabisa.
Tumewaachia sana hao matapeliManabii watawachezesha akili Wabongo mpk ziwakae sawa
Mara kukanyaga mafuta
Mara kulambishwa na kuuziwa chumvi
Mara kuuziwa mafuta ya upako
Mara kunyweshwa juice ya fruto π
Mara kuuziwa kitambaa cha upako
Wengine wanauza maji ya upako
Leo tena kushikishwa vazi la Nabii ππ€
Hawa manabii wanakoroga na kucheza na akili za Watanzania kwa ujinga na manufaa yao binafsi
Utapeli huu
Na wanapiga zaidi pesa za akina mamaUkitaka jua ni wajasiriamali wanaojiita Manabii wote wamerundikana miji mikubwa tu ambayo ina mzunguko wa Pesa
Dar,Arusha,Mwanza
Hata Mikutano yao ni kuzunguka hio mikoa tu
Wanapiga Mikutano Dar,kisha Arusha wanamalizia Mwanza huwezi wasikia wapo Simiyu,Ruvuma au kilolo huko π
Hawa jamaa ni matapeli,Wapo kipesa zaidi