Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Mbowe kuwa waziri mkuu 2025.Mama anaupiga mwingi
inasemekana kiwanda kinachozalisha sukari bagamoyo kiliathiriwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha na kupelekea uhaba uliopoIla nchi za afrika bana,yaani kila duka unakuta kuna sukari inatoka brazil . Sasa najiuliza hivi viwanda vyetu sukari vinaweka wapi baada ya kuzalisha?
Sasa fikiria hata wewe sukari itoke brazil ni kilometer ngapi mpaka hapa? Halafu zingatia na shilingi yetu ilivolegea dhidi ya dollar
SawasawaBado ndogo iende hadi 10000/
Ova
Wakati huo Tundu Lissu akiwa RaisMbowe kuwa waziri mkuu 2025.
Ramadhani mwezi wa 4 sukari mashamba ya miwa yamejaa maji hawawez kuingia kuvuna si kwa trecta wala mtu so uzalishaji hakuna tena viwandan ndio imesababisha uhaba wa sukar na ndio mabingwa waliokua nayo kwa wingi wanauza wanavotaka
Kwa hiyo mkuu, heading ndo content nzima siyo?Muwe na alasiri njema!
Huwa nawasemaga sana wajinga wajinga wanaosemaga wataisoma namba,bila kujua wote tunanunua sukari 5,000Ukiwa mwanakijani unauziwa aftatu. Hiyo bei ni kwa wapinzani wasioitakia mema nchi yetu, kijani sio sukari tu hata asali wanalamba.
Kawaida sanaMuwe na alasiri njema!
Na sukuma gang pia wanauziwa 5,000Ukiwa mwanakijani unauziwa aftatu. Hiyo bei ni kwa wapinzani wasioitakia mema nchi yetu, kijani sio sukari tu hata asali wanalamba.