Sukari inauzwa hadi 5000 na Serikali iko kimya hadi sasa, bei elekezi ni ipi?

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Hivi hii Serikali inafuatilia kweli maisha ya Wananchi wake huko mitaani? Watu wanauziwa Sukari Tsh. 5000 kwa kilo na Wafanyabishara hata hawana hofu yoyote.

Ni kwamba hakuna anayejali hali za Wananchi tayari linatengenezwa tatizo la kisiasa ili waje walitumie kwenye kampeni zao?
 
Pale tumeyataka haya, kodi kubwa na vibali vya sukari kupewa makada wachache wa chama ndio wamefikisha hapo.\
binafsi naona ipande ifike 10,000/.
 
Mnashindwa nini kuachana nayo

Na nyie wasusieni tu wakae n sukari

Yao wale wao na familia zao uone

Kama hawatoiuza

Acheni kuwa watumwa

Ova
sukari inakazi nyingi sana matumizi ya familia ni sehemu ndgo sana ya sukari yote iliyopo ingawa ni ndogo pia!
 
Hotuba ya Desemba 31 alisema Hangaya kuwa serikali imedhibiti mfumuko wa bei.


Nilishasema yule anatupiga fiksi za kitoto sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…