BabaDesi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2007
- 6,122
- 4,060
...Mama anaupiga Mwingi ! ...Upi ?? [emoji848][emoji848]Hivi hii Serikali inafuatilia kweli maisha ya Wananchi wake huko mitaani? Watu wanauziwa Sukari Tsh. 5000 kwa kilo na Wafanyabishara hata hawana hofu yoyote.
Ni kwamba hakuna anayejali hali za Wananchi tayari linatengenezwa tatizo la kisiasa ili waje walitumie kwenye kampeni zao?
Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app