Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hii ya kuandika "hovyo" badala ya "ovyo" mbona imeshari sana jf.Kila kitu hovyo. Kwakweli wanawake tunazidi kuonesha kua hatuwezi kuongoza
Unataka asifie?Hupendezi kutukana.
Joyce Banda alitaka kuisusa malawi [emoji23][emoji23]wamama vifua vidogo kuhimili mambo makubwa,mababu walikuw wanajua hakuna kusoma ni kulea na kupika tu[emoji23][emoji23]Hivi hii ya kuandika "hovyo" badala ya "ovyo" mbona imeshari sana jf.
Aah wanawake wengi hawana sifa ya uongozi, ni vile mifumo ya sasa ya dunia inalazimisha tu.
Kilimanjaro nimenunua juzi sh 4,000, jamani Hali si Hali kbs. Bado bidhaa za chakula masokoni, ya I tunaisoma no kweli kweli.Hivi hii Serikali inafuatilia kweli maisha ya Wananchi wake huko mitaani? Watu wanauziwa Sukari Tsh. 5000 kwa kilo na Wafanyabishara hata hawana hofu yoyote.
Ni kwamba hakuna anayejali hali za Wananchi tayari linatengenezwa tatizo la kisiasa ili waje walitumie kwenye kampeni zao?
Kl 1, kama Kilimanjaro nimenunua sh 4000 juzi Nini kinashindikana baadhi ya mikoa ikapanda zaidi?elfu 5 kwa kilo mbili au
[emoji23][emoji23]Kero tu.. Tafrani
Sio lazima kutukana.Unataka asifie?
kiswahili kigumuHivi hii ya kuandika "hovyo" badala ya "ovyo" mbona imeshari sana jf.
Aah wanawake wengi hawana sifa ya uongozi, ni vile mifumo ya sasa ya dunia inalazimisha tu.