Sukari madukani hamna, tatizo ni nini wakati tayari kuna bei elekezi toka Serikalini?

Sukari madukani hamna, tatizo ni nini wakati tayari kuna bei elekezi toka Serikalini?

Wale waheshimiwa walivyokuwa wanatoka povu kuhusu kuweka bei elekezi, nilifikiri sukari ingeshuka muda huo huo.....kumbe walikuwa wanampiga tembo ngumi....ataendelea kula majani kama kawaida...
 
Siamini kama kweli sukari imeadimika bali kuna baadhi ya wafanya biashara haswa wakubwa wameficha sukari ili kupingana na kauli ya waziri kuhusu bei elekezi ya sh/2500 kwa kilo kwa mkoa wa DSM,

kufuatia kauli hiyo ndipo sukari ilianza kuadimika madukani lkn kabla ya hapo ilikuwepo.
Sidhani kama ni jambo la busara kwa wafanya biashara kupimana nguvu Na waziri/serikali, wafanya biashara wanapaswa wajue kuwa tunao umia ni ss ndugu zao watanzania wa hali ya chini, tunawaomba watangulize utu kwanza kuliko kupata faida kubwa.

Lkn pia waziri au mawaziri husika watumie njia sahihi kutatua changamoto hii haraka ili tupate sukari kwa bei elekezi.

Ni vyema kwa viongozi wetu wanapotoa matamko basi wahakikishe wanayasimamia kikamilifu
 
Sasa kama sukari wananunua zaidi ya TZS 2,700 bei ya jumla bado usafiri yeye atauzaje TZS 2,500?
 
Kumekuwa na uhaba wa sukari maeneo kadhaa kwa kigezo cha kukwepa bei elekezi ila ukweli ni kwamba wafanya biashara wanaficha ili wasiuze kwa bei elekezi mi naanza kwa kutaja mkoa wangu wenye uhaba wa sukari ili wakuu wa mikoa wawajibike kama alivyo fanya mkuu wa mkoa Arusha Mrisho Gambo au wa Dar Paul Makonda. Mkoa wa Tanga hakuna sukari kabisa baadhi ya wilaya, taja mkoa au wilaya halafu jumatatu ntaleta mrejesho
 
Wakuu Salaam;

Nimezunguka madukani kutafuta sukari ili nipate chai angalau nichangamke kipindi hiki cha mvua maana baridi ipo kweli huku duniani niliko, sasa kila duka naloingia naambiwa sukari hamna!

Nimejaribu kwenda hadi maeneo ya stendi lakini bado sukari najibiwa hamna.

Nimeamua ninywe chai na malimao tu maana yenyewe yataifanya hiyo chai hata iwe na ladha. Malimao yenyewe saivi kuyapata ni shughuli haswa mana watu wananunua wakachanganye kwenye mvukizo ili wajifukize.

Nimejaribu kuwauliza watu baadhi wanadai sukari hakuna kila sehemu na watu wameficha stock ila hawana uhakika kama kweli wameficha. Sasa tatizo ni nini wakati juzi limetoka tamko lenye bei elekezi ya sukari?

Kuna mmoja kanidokeza kua, wale waliokua na sukari kabla tamko la bei elekezi halijatoka, waliendelea kuuza kwa bei ile ile ya juu yani 3500. Sasa wakikutwa wanauza bei hiyo au mteja akisema kauziwa kwa bei hiyo, muuzaji anakamatwa.

Kwanini ifikie hali hii sukari iadimike ghafla? Au kweli sukari hamna?
Au wafanya biashara wanaficha sukari?

Kama vipi serikali ije na tathmini mpya juu ya hili swala.

Huko ulipo vipi sukari inapatikana kama kawaida au nako hamna kama maeneo ya huku?

Na vipi kuhusu bei ya sukari huko ulipo? Au unatumia malimao kama mimi?
Sukar ni fimbo anayotuchapia Zakaria na mo dewj.wao ndo waliowapandishia wafanyabiashara kwenye whole selling...sio kweli kwmba sukar madukan hamna,ila haiingii akilin mangi akuuzie2600/kg,wkt yeye kauziwa 65000/20kg.kwhyo sukar itaendelea kufichwa hd itakavyokua vinginevyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sukari ipo nyingi sana,sema hukuwa na hela ya kununua,hebu tangaza sasa hivi kuwa,unanunua sukari kwa kilo sh.10,000/uone kama hutajaza maloli hata 50,kwa saa,kwa sisi WANYONGE tutanunua tu,tunaomba ipande beu zaidi ifike hata elfu 50 kwa kilo moja.
 
Back
Top Bottom