Sukari madukani hamna, tatizo ni nini wakati tayari kuna bei elekezi toka Serikalini?

Sukari madukani hamna, tatizo ni nini wakati tayari kuna bei elekezi toka Serikalini?

Sukar ni fimbo anayotuchapia Zakaria na mo dewj.wao ndo waliowapandishia wafanyabiashara kwenye whole selling...sio kweli kwmba sukar madukan hamna,ila haiingii akilin mangi akuuzie2600/kg,wkt yeye kauziwa 65000/20kg.kwhyo sukar itaendelea kufichwa hd itakavyokua vinginevyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Raisi wetu mpenda Wanyonge ataingilia kati na bei itakua himilivu.
 
Mara ya mwisho sukari kupotea nchi nzima ni 1984. Tangu aingie Mwinyi, Mkapa ba Jakaya hatujawahi kuyaona haya. Eti mkuu wa wilaya anazunguka madukani kutafuta wanaouza sukari bei juu awakamate??? Kweli?? Hata London wanaweza kufanya hivi au ni Swaziland
 
Back
Top Bottom