Sukari madukani hamna, tatizo ni nini wakati tayari kuna bei elekezi toka Serikalini?

Raisi wetu mpenda Wanyonge ataingilia kati na bei itakua himilivu.
 
Mara ya mwisho sukari kupotea nchi nzima ni 1984. Tangu aingie Mwinyi, Mkapa ba Jakaya hatujawahi kuyaona haya. Eti mkuu wa wilaya anazunguka madukani kutafuta wanaouza sukari bei juu awakamate??? Kweli?? Hata London wanaweza kufanya hivi au ni Swaziland
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…