Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Msikilize hapo yeye ndio anapiga msumari hakuna mkoa upo tayari kutoka wilaya zake, ipewe Chato. Ni indirectly kupinga ujio wa mkoa.Kasheku ni anti jpm ila ni mnafiki anacheza na upepo unavyoenda
Unashindia mihogo Kwa shemeji yako lazima utoke kapa tuNimesoma literature ila hapa nimetoka kapa
Huduma zipi hizo zinafuatwa mbali?? Kutoka Chato mpaka Geita ni kilomita ngapi??Chato haina ardhi kwa hiyo wilaya iko angani?Russia na china huwezi kuzifananisha na Tanzania, hakuna uwiano. Kwanini usitolee mfano wa nchi za afrika mashariki na kati?kwa hali yoyote ile mm naunga mkono chato kuwa mkoa kwa maslahi mapana ya wananchi wanafuata huduma mbali(makao makuu ya mikoa).
Mwandishi ni mchonganishi,Hili kundi sio la kufikirika lipo na litamtesa sana mama Samia.
Nipo kanda ya Ziwa kiukweli mama yangu Samia huku watu hawakupendi kwa sababu mbili.
Watu wa huku wana mfumo dume hawaamini kama mwanamke anaweza kuwa Rais.
Pili ni wivu tu na roho mbaya,wanaona kama wewe unafaidi matunda ya mwenazake bure
Hawaamini kama utaendeleza miradi ya mwendazake aliyoianzisha kanda ya ziwa.
Kuna mikoa kama Geita hususan wilaya ya Chato imerudi nyuma kimaendeleo,enzi za mwendazake ikulu ilihamia Chato,mzunguko wa hela ukawa mkubwa,sasa hotel za Chato ni makazi ya popo, mji umepooza dorooo.
Sasa wameamua kumtikisa Rais wetu mpendwa mama Samia kwa kudai mkoa wa Chato,katika hili wanamtumia Dk Msukuma kumtisha mama.
Chato haina ardhi wala hadhi vya kuwa mkoa, huo ndio ukweli,mama simamia haki.nadhani ifike muda sasa mambo ya kutengeneza mikoa mipya ywfike tamati.
China USA na Russia ni kubwa ila hawana ujinga huu,kikubwa serikali ipeleke huduma bora kwa wananchi basi kwa kuzisogeza karibu.
Mwisho Sukuma Gang waambiwe kuwa mama yetu Samia yuko pale kitini kwa sababu ya katiba,na waambiwe kuwa Hayati Magufuli aliitwa na Bwana Mbinguni kwa mapenzi yake,
Tutulie tujenge nchi
,waache nongwa.
Nimezungumzia ukubwa wa eneo hata hovyo ni nchi gani ambayo haitambuliwi na fifaUnalinganisha nchi na wilaya
Hakuna kitu wala kundi unaloaminisha watu.Ahaaa
Kundi lipo ila limekaa kiitikadi zaidi,halina ofisi wala viongozi rasmi lakini lipoHakuna kitu wala kundi unaloaminisha watu.
Acheni mara moja kuleta mgawanyiko ktk Nchi.
Nchi ni Moja Tanzania.
Kudai Mkoa haijawahi kutafsiriwa kama kumtisha mkuu wa Nchi.
Hakuna kitu kama hicho,Kundi lipo ila limekaa kiitikadi zaidi,halina ofisi wala viongozi rasmi lakini lipo
Kumbe mwandishi ni chawa anayekaa kwenye nywele chafu!Hili kundi sio la kufikirika lipo na litamtesa sana mama Samia.
Nipo kanda ya Ziwa kiukweli mama yangu Samia huku watu hawakupendi kwa sababu mbili.
Watu wa huku wana mfumo dume hawaamini kama mwanamke anaweza kuwa Rais.
Pili ni wivu tu na roho mbaya,wanaona kama wewe unafaidi matunda ya mwenazake bure
Hawaamini kama utaendeleza miradi ya mwendazake aliyoianzisha kanda ya ziwa.
Kuna mikoa kama Geita hususan wilaya ya Chato imerudi nyuma kimaendeleo,enzi za mwendazake ikulu ilihamia Chato,mzunguko wa hela ukawa mkubwa,sasa hotel za Chato ni makazi ya popo, mji umepooza dorooo.
Sasa wameamua kumtikisa Rais wetu mpendwa mama Samia kwa kudai mkoa wa Chato,katika hili wanamtumia Dk Msukuma kumtisha mama.
Chato haina ardhi wala hadhi vya kuwa mkoa, huo ndio ukweli,mama simamia haki.nadhani ifike muda sasa mambo ya kutengeneza mikoa mipya ywfike tamati.
China USA na Russia ni kubwa ila hawana ujinga huu,kikubwa serikali ipeleke huduma bora kwa wananchi basi kwa kuzisogeza karibu.
Mwisho Sukuma Gang waambiwe kuwa mama yetu Samia yuko pale kitini kwa sababu ya katiba,na waambiwe kuwa Hayati Magufuli aliitwa na Bwana Mbinguni kwa mapenzi yake,
Tutulie tujenge nchi
,waache nongwa.
Hao wajomba wa mwenadazake waliokuwa wanavaa suti zimepwaya kama za mitimba wanaweza kumtisha Samia ???!!!!!’Hili kundi sio la kufikirika lipo na litamtesa sana mama Samia.
Nipo kanda ya Ziwa kiukweli mama yangu Samia huku watu hawakupendi kwa sababu mbili.
Watu wa huku wana mfumo dume hawaamini kama mwanamke anaweza kuwa Rais.
Pili ni wivu tu na roho mbaya,wanaona kama wewe unafaidi matunda ya mwenazake bure
Hawaamini kama utaendeleza miradi ya mwendazake aliyoianzisha kanda ya ziwa.
Kuna mikoa kama Geita hususan wilaya ya Chato imerudi nyuma kimaendeleo,enzi za mwendazake ikulu ilihamia Chato,mzunguko wa hela ukawa mkubwa,sasa hotel za Chato ni makazi ya popo, mji umepooza dorooo.
Sasa wameamua kumtikisa Rais wetu mpendwa mama Samia kwa kudai mkoa wa Chato,katika hili wanamtumia Dk Msukuma kumtisha mama.
Chato haina ardhi wala hadhi vya kuwa mkoa, huo ndio ukweli,mama simamia haki.nadhani ifike muda sasa mambo ya kutengeneza mikoa mipya ywfike tamati.
China USA na Russia ni kubwa ila hawana ujinga huu,kikubwa serikali ipeleke huduma bora kwa wananchi basi kwa kuzisogeza karibu.
Mwisho Sukuma Gang waambiwe kuwa mama yetu Samia yuko pale kitini kwa sababu ya katiba,na waambiwe kuwa Hayati Magufuli aliitwa na Bwana Mbinguni kwa mapenzi yake,
Tutulie tujenge nchi
,waache nongwa.
Wale wanyama wa Arusha waliotekwa wakapelekwa Chato bado wapo au wametoroka au wamekufa tujulisheni.Hili kundi sio la kufikirika lipo na litamtesa sana mama Samia.
Nipo kanda ya Ziwa kiukweli mama yangu Samia huku watu hawakupendi kwa sababu mbili.
Watu wa huku wana mfumo dume hawaamini kama mwanamke anaweza kuwa Rais.
Pili ni wivu tu na roho mbaya,wanaona kama wewe unafaidi matunda ya mwenazake bure
Hawaamini kama utaendeleza miradi ya mwendazake aliyoianzisha kanda ya ziwa.
Kuna mikoa kama Geita hususan wilaya ya Chato imerudi nyuma kimaendeleo,enzi za mwendazake ikulu ilihamia Chato,mzunguko wa hela ukawa mkubwa,sasa hotel za Chato ni makazi ya popo, mji umepooza dorooo.
Sasa wameamua kumtikisa Rais wetu mpendwa mama Samia kwa kudai mkoa wa Chato,katika hili wanamtumia Dk Msukuma kumtisha mama.
Chato haina ardhi wala hadhi vya kuwa mkoa, huo ndio ukweli,mama simamia haki.nadhani ifike muda sasa mambo ya kutengeneza mikoa mipya ywfike tamati.
China USA na Russia ni kubwa ila hawana ujinga huu,kikubwa serikali ipeleke huduma bora kwa wananchi basi kwa kuzisogeza karibu.
Mwisho Sukuma Gang waambiwe kuwa mama yetu Samia yuko pale kitini kwa sababu ya katiba,na waambiwe kuwa Hayati Magufuli aliitwa na Bwana Mbinguni kwa mapenzi yake,
Tutulie tujenge nchi
,waache nongwa.
usitusemee ss wana mwzSio kweli kanda ya ziwa hawampendi maa na hawaitaki chadema kwa sasa,wamesusa kabisa mambo ya siasa
Juzi nimepita hapo dege la Emirates limeegesha likiwa limeshusha watalii wa Burigi.Hivi CHATO INTERNATIONAL AIRPORT inaendeleaje?