Mfumo jike ndo unafaa?Kweli wasukuma wana mfumo dume, lakini kuhusu suala la ikulu ya Chato kuwa doro naona wawe wapole tu, hiyo lazima ingetokea, kwasasa ikulu ya Makunduchi [kama ipo] ndio inatakiwa kuchangamka.
Muhimu kwao kwa sasa waiombe serikali ibadilishe matumizi ya hilo jengo, waangalie litawafaa kwa matumizi yapi kisha wafanye hivyo kama serikali itakubali ombi lao, kuliko kuendelea kununa bila sababu.
Kuhusu msukuma yule chawa namba moja siamini kama anaweza kutumiwa kwa kazi hiyo, labda kama ungetupa mfano wa tukio/matukio yanayoonesha kutumika kwake ingependeza.
Hivi hq ya wasukuma ni chato?Hili kundi sio la kufikirika lipo na litamtesa sana mama Samia.
Nipo kanda ya Ziwa kiukweli mama yangu Samia huku watu hawakupendi kwa sababu mbili.
Watu wa huku wana mfumo dume hawaamini kama mwanamke anaweza kuwa Rais.
Pili ni wivu tu na roho mbaya,wanaona kama wewe unafaidi matunda ya mwenazake bure
Hawaamini kama utaendeleza miradi ya mwendazake aliyoianzisha kanda ya ziwa.
Kuna mikoa kama Geita hususan wilaya ya Chato imerudi nyuma kimaendeleo,enzi za mwendazake ikulu ilihamia Chato,mzunguko wa hela ukawa mkubwa,sasa hotel za Chato ni makazi ya popo, mji umepooza dorooo.
Sasa wameamua kumtikisa Rais wetu mpendwa mama Samia kwa kudai mkoa wa Chato,katika hili wanamtumia Dk Msukuma kumtisha mama.
Chato haina ardhi wala hadhi vya kuwa mkoa, huo ndio ukweli,mama simamia haki.nadhani ifike muda sasa mambo ya kutengeneza mikoa mipya ywfike tamati.
China USA na Russia ni kubwa ila hawana ujinga huu,kikubwa serikali ipeleke huduma bora kwa wananchi basi kwa kuzisogeza karibu.
Mwisho Sukuma Gang waambiwe kuwa mama yetu Samia yuko pale kitini kwa sababu ya katiba,na waambiwe kuwa Hayati Magufuli aliitwa na Bwana Mbinguni kwa mapenzi yake,
Tutulie tujenge nchi
,waache nongwa.
Ni Itilima.Hivi hq ya wasukuma ni chato?
Hili kundi sio la kufikirika lipo na litamtesa sana mama Samia.

,waache nong
Hakuna mtu wa kumtisha Rais ndugu yangu. Alafu issue ya chato kuwa mkoa sidhani kama ni concern ya kila mtanzania serikali inachofanya ni kupeleka mahitaji muhimu kwa watanzania na hao ndio watampa kura 2025 sio Sukuma GangHili kundi sio la kufikirika lipo na litamtesa sana mama Samia.
Nipo kanda ya Ziwa kiukweli mama yangu Samia huku watu hawakupendi kwa sababu mbili.
Watu wa huku wana mfumo dume hawaamini kama mwanamke anaweza kuwa Rais.
Pili ni wivu tu na roho mbaya,wanaona kama wewe unafaidi matunda ya mwenazake bure
Hawaamini kama utaendeleza miradi ya mwendazake aliyoianzisha kanda ya ziwa.
Kuna mikoa kama Geita hususan wilaya ya Chato imerudi nyuma kimaendeleo,enzi za mwendazake ikulu ilihamia Chato,mzunguko wa hela ukawa mkubwa,sasa hotel za Chato ni makazi ya popo, mji umepooza dorooo.
Sasa wameamua kumtikisa Rais wetu mpendwa mama Samia kwa kudai mkoa wa Chato,katika hili wanamtumia Dk Msukuma kumtisha mama.
Chato haina ardhi wala hadhi vya kuwa mkoa, huo ndio ukweli,mama simamia haki.nadhani ifike muda sasa mambo ya kutengeneza mikoa mipya ywfike tamati.
China USA na Russia ni kubwa ila hawana ujinga huu,kikubwa serikali ipeleke huduma bora kwa wananchi basi kwa kuzisogeza karibu.
Mwisho Sukuma Gang waambiwe kuwa mama yetu Samia yuko pale kitini kwa sababu ya katiba,na waambiwe kuwa Hayati Magufuli aliitwa na Bwana Mbinguni kwa mapenzi yake,
Tutulie tujenge nchi
,waache nongwa.
Aliyeikosea sana nchi hii ni JK, kumwendekeza Magufuli. Alifanya makosa makubwa sana kuunda mkoa wa Geita. Geita iliundwa kwa kuumega mkoa wa Kagera, leo wanataka kuunda mkoa wa Chato kwa kuumega tena mkoa wa Kagera. Hii maana yake nini, cheka na wajinga washamba utavuna usichotegemea. Kuna mikoa inatakiwa imegwe kwasababu ina sifa ila serikali inahangaika na washamba. Mi siamini km kuna mtu au group linaweza kumtisha rais wa nchi hii, siamini.Hili kundi sio la kufikirika lipo na litamtesa sana mama Samia.
Nipo kanda ya Ziwa kiukweli mama yangu Samia huku watu hawakupendi kwa sababu mbili.
Watu wa huku wana mfumo dume hawaamini kama mwanamke anaweza kuwa Rais.
Pili ni wivu tu na roho mbaya,wanaona kama wewe unafaidi matunda ya mwenazake bure
Hawaamini kama utaendeleza miradi ya mwendazake aliyoianzisha kanda ya ziwa.
Kuna mikoa kama Geita hususan wilaya ya Chato imerudi nyuma kimaendeleo,enzi za mwendazake ikulu ilihamia Chato,mzunguko wa hela ukawa mkubwa,sasa hotel za Chato ni makazi ya popo, mji umepooza dorooo.
Sasa wameamua kumtikisa Rais wetu mpendwa mama Samia kwa kudai mkoa wa Chato,katika hili wanamtumia Dk Msukuma kumtisha mama.
Chato haina ardhi wala hadhi vya kuwa mkoa, huo ndio ukweli,mama simamia haki.nadhani ifike muda sasa mambo ya kutengeneza mikoa mipya ywfike tamati.
China USA na Russia ni kubwa ila hawana ujinga huu,kikubwa serikali ipeleke huduma bora kwa wananchi basi kwa kuzisogeza karibu.
Mwisho Sukuma Gang waambiwe kuwa mama yetu Samia yuko pale kitini kwa sababu ya katiba,na waambiwe kuwa Hayati Magufuli aliitwa na Bwana Mbinguni kwa mapenzi yake,
Tutulie tujenge nchi
,waache nongwa.
we kweli dondocha. Tumia akili badala ya makalioKwani kuna shida gani chato ikiwa mkoa? Mbona mnapenda kukuza mambo kijinga yaonekane yanamaana sana? Mnaacha kuoambania mindege inayotua huko Loliondo mnapambana Chato usiwe mkoa!
Watakwama tuHili kundi sio la kufikirika lipo na litamtesa sana mama Samia.
Nipo kanda ya Ziwa kiukweli mama yangu Samia huku watu hawakupendi kwa sababu mbili.
Watu wa huku wana mfumo dume hawaamini kama mwanamke anaweza kuwa Rais.
Pili ni wivu tu na roho mbaya,wanaona kama wewe unafaidi matunda ya mwenazake bure
Hawaamini kama utaendeleza miradi ya mwendazake aliyoianzisha kanda ya ziwa.
Kuna mikoa kama Geita hususan wilaya ya Chato imerudi nyuma kimaendeleo,enzi za mwendazake ikulu ilihamia Chato,mzunguko wa hela ukawa mkubwa,sasa hotel za Chato ni makazi ya popo, mji umepooza dorooo.
Sasa wameamua kumtikisa Rais wetu mpendwa mama Samia kwa kudai mkoa wa Chato,katika hili wanamtumia Dk Msukuma kumtisha mama.
Chato haina ardhi wala hadhi vya kuwa mkoa, huo ndio ukweli,mama simamia haki.nadhani ifike muda sasa mambo ya kutengeneza mikoa mipya ywfike tamati.
China USA na Russia ni kubwa ila hawana ujinga huu,kikubwa serikali ipeleke huduma bora kwa wananchi basi kwa kuzisogeza karibu.
Mwisho Sukuma Gang waambiwe kuwa mama yetu Samia yuko pale kitini kwa sababu ya katiba,na waambiwe kuwa Hayati Magufuli aliitwa na Bwana Mbinguni kwa mapenzi yake,
Tutulie tujenge nchi
,waache nongwa.
Ni watu wabaya sana hawaWatu wa huku wana mfumo dume hawaamini kama mwanamke anaweza kuwa Rais.
Pili ni wivu tu na roho mbaya,wanaona kama wewe unafaidi matunda ya mwenazake bure
Chato kijiji cha kihistoria.Nimesoma literature ila hapa nimetoka kapa
Japo siamini kuwa kundi la Sukuma Gang lipo na lina exist in reality but ni kweli Magufuli alitwaliwa na Bwana wa Mbinguni kwa mapenzi yake na sasa yuko naye peponi https://www.jamiiforums.com/threads...kumsimanga-aachwe-apumzike-kwa-amani.2001406/.Mwisho Sukuma Gang waambiwe kuwa mama yetu Samia yuko pale kitini kwa sababu ya katiba,na waambiwe kuwa Hayati Magufuli aliitwa na Bwana Mbinguni kwa mapenzi yake,
Tutulie tujenge nchi
,waache nongwa.
Kwa hiyo 2025 mtaichagua chadema au act? Au chaumma!?Lake zone inawatoa roho sana.
2025 is loading..........
Nimefurahi ulipozungumzia Ikulu ya Chato, najisikia heshima kubwa kwasababu ni mimi ndio niliitambulisha rasmi Ikulu ya Chato https://www.jamiiforums.com/threads...ni-chamwino-sasa-hadi-ikulu-ya-chato.1718183/Kuna enzi za mwendazake ikulu ilihamia Chato,mzunguko wa hela ukawa mkubwa
Mtafanya nini dhidi ya CCM? Hakuna anayeweza hiki chamaWe endelea tu. Pika hicho unachopika. Kanda ya ziwa ni kitu kimoja na iko imara sana. Tuendelee kusubiri 2025.
Vipi Umoja Party?Sio kweli kanda ya ziwa hawampendi maa na hawaitaki chadema kwa sasa,wamesusa kabisa mambo ya siasa
Pascal fungua kanisa we ni nabii una jicho la tatu unaona visivyoonekanaNimefurahi ulipozungumzia Ikulu ya Chato, najisikia heshima kubwa kwasababu ni mimi ndio niliitambulisha rasmi Ikulu ya Chato https://www.jamiiforums.com/threads...ni-chamwino-sasa-hadi-ikulu-ya-chato.1718183/
P