Sukuma Gang sio watu wa kupuuzwa, itafutwe namna ya kuifuta hii itikadi ili kuleta Umoja wa Kitaifa

Well nailed 👏 👌
 
Hayati Magufuli hakuwa mzalendo bali manipulator na propagandist mkubwa.
Ila alifanikiwa sana kuwakamata ninyi wafuasi wake akili.

Kwa matendo yake, tunayo yote sio siri, Mwendazake alikuwa mwizi, fisadi, muuaji na mwendawazimu.
Hiyo ndio legacy yake.
 
Wewe ndiyo upo manipulated bosi. Uwezo wako kichwani ni mdogo na umejaa chuki binafsi.
 
Na vipi kuhusu Msoga?? Au hilo liendelee kusavive na uongozi wa kurithishana?? Acha chuki na watu. Na wewe anzisha gang lako basi.
 
Mama kaanza kuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…